Naombeni ushauri wenu

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,891
Habari za wakati huu wapendwa JF

Swali hivi serikali yetu kwenye lile jadili la bungeni kuhusu raia pacha walikuja kuruhusu mtu kama kaolewa na mzungu , nani muastralia na akapewa na mume wake huo uraia , je atabaki na huo uraia wa tz na wa Australia??

Naombeni jibu . Kwa wanaoelewa .
 
Mmh! Je mf. Nikaukataa raia ya ugenini nikawa nakuja tu kusalimia huko huku sinaweza kukaa kama raia tz maana bado sijaukana?
Utakaa Kama Unavyoona Wageni Wanakuja
Unapata Vibari Na Utakuwa Unaongeza Kila Kinapokwisha
Utapoteza Stahiri Za Tanzania Zote
 
Kwa Tanzania hakuna uraia pacha ni labda uukane uraia wa hapa au uendele nao huku ukiwa na kibali cha mkaazi wa kudumu.

Unapo ao au kuolewa na mtu kutoka nje maana yake, Unaweza pata permanent residence( Ukaazi wa kudumu) na ukipata ukaazi wa kudumu baada ya miaka mi 5 au 10 unaweza omba kuwa raia wa nchi husika inategemea na nchi yenyewe, lakini pia unaweza ishi bila kuwa raia wa hiyo nchi kikubwa una ukaazi wa kudumu tu.
 
! Kwa hiyo siwezi kuja kuishi huku kama mie nimeamua kuwa raia wa nchi nyingine??
Nafikiri unachanganya mambo. Kuishi unaweza kuishi lakini sio kama mtanzania tena, utaishi kama mgeni kwakuwa kwa Sheria ilivyo mpaka sasa ni ~ ukiukubali uraia wa nchi nyingine automatically unakuwa umeukana utanzania.

Hili suala litapatiwa jawabu siku yule professor wa jalalani akitoweka kwenye viunga vya serikalini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom