naombeni msamaha

ha ha ha ha......wat xactly is this? another one of those jokes au ni kweli mtu ali-mess up na watu humu ndani??
 
Dah! Nashukuru sana kama umeuelewa mie binafsi "NIMEKUSAMEHE" ila kwa masharti kwamba utakuwa unachangia post kwa amani. Pia namuomba sana exellent nae akusame.hongera kwa kujua kosa lako japo umeomba msamaha kama unarazimisha.

no!! Nimefuta msamaha.nimekumbuka ulichokifanya kwenye ile post aliyo ianzisha exellent yenye heading WAKUSOMA ni kitendo ambacho si cha ki ungwana hata kidogo yaani maji unayo kunywa wewe ndo umeenda kujifungulia samadi lako hapo..
 
Naombeni msamaha kama ninawakwaza, ila nitaendelea kudil na nyie mpaka nirudi shule nishawaelimisha vya kutosha.

waombe wanaokupa kiburi na kuchekelea uozo unaotoa na hata hawakupi onyo.inawezekana wewe ni gamba la kenge sio lile la nyoka (sisiemu) unatisha mpaka mods wanagwaya.
 
waombe wanaokupa kiburi na kuchekelea uozo unaotoa na hata hawakupi onyo.inawezekana wewe ni gamba la kenge sio lile la nyoka (sisiemu) unatisha mpaka mods wanagwaya.
Duh umenena Slave, jamaa atakuwa gamba ila hope mods watampeperusha muda si mrefu.
 
Wala huna haja ya kuomba msamaha; li ukweli mie huwa nafurahia kukiwa na upinzani kwenye maada; inatufanya tufiri zaidi tunavyotaka kufikiri! ndo maana ya kuwa great thinker! so we endelea kukosoa ni haki yako kwa jamii!

mmh mdau hapo kwenye red ulimi hauna mfupa au vidole havina wino au keyboard haina ushirikiano kama ulitaka kuandika neno flani hivi........ hasa ulipomalizia zaidi.....
mmh na log nje
 
nyie hamjui huyu sio denti wala nini kibabu cha miaka 70 anatafuta misamiati mipya jinsi mnavyochangia anafanya elimu ya watu wazima ndo anasoma praimari now msameheni bure
 
Duh umenena Slave, jamaa atakuwa gamba ila hope mods watampeperusha muda si mrefu.

dah! Mkuu tangu nijiunge jf sikuwahi kufikri siku moja nitamjibu mtu majibu kama haya ninayo mjibu huyu gama la kenge.yaani mods wanamuona sana pengine mods wamemuweka huyo ili wamtege member flani ili iwe sababu ya kunyukwa ban.mimi kama nitapigwa ban kwa ajili ya huyu mbwa ujue sintotamani tena kuwa jf. Maana ntakuwa na jua tu jf wapo mchwa wanaoitafuna jf pole pole.
 
nyie hamjui huyu sio denti wala nini kibabu cha miaka 70 anatafuta misamiati mipya jinsi mnavyochangia anafanya elimu ya watu wazima ndo anasoma praimari now msameheni bure

lol kumbe ivo ee? Inamaana anategemea baada ya std 7 aombe ajira magambani?
 
dah! Mkuu tangu nijiunge jf sikuwahi kufikri siku moja nitamjibu mtu majibu kama haya ninayo mjibu huyu gama la kenge.yaani mods wanamuona sana pengine mods wamemuweka huyo ili wamtege member flani ili iwe sababu ya kunyukwa ban.mimi kama nitapigwa ban kwa ajili ya huyu mbwa ujue sintotamani tena kuwa jf. Maana ntakuwa na jua tu jf wapo mchwa wanaoitafuna jf pole pole.
Kaka huyu jamaa ana makusudi sana,ila tumpotezee tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom