July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 794
Ni ya form 6 na yamekuja hv
history D
GEO D
econ E
Bam s
g.s S
je naweza chaguliwa? Facat zipi?
Mkopo ?
history D
GEO D
econ E
Bam s
g.s S
je naweza chaguliwa? Facat zipi?
Mkopo ?
unaweza kupata kozi nyingi maana kwa matokeo yako hayo ya ... DDE=2+2+1=5Ni ya form 6 na yamekuja hv
history D
GEO D
econ E
Bam s
g.s S
je naweza chaguliwa? Facat zipi?
Mkopo ?
thanks nitmie iyo link kakaunaweza kupata kozi nyingi maana kwa matokeo yako hayo ya ... DDE=2+2+1=5
MFANO B.A ECONOMICS ,BAGEN(GEOGRAPHY AND ENVIROMENTAL STUDIES)
JARIBU KUFUATA TCU GUIDE BOOK 2012/2013 kian kozi zote
ila kama utaka mkopo angalia priority kozi ambazo loan board wameziorodhesha na pia kwenye hicho ktabu kuna reccomendations ya hizo kozi kuna chuo kama ARDHI kuna kozi kama BSC. REAL ESTASTE , LAND VALUATION,... WANACHUKUAGA HGE KWA HIYO ANGALIA NA WANACONSIDER KWENYE MKOPO
thanks nitmie iyo link kaka
eti unaposema wanarenconsider kwenye mkopo una maana gani?https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/260358-tcu-guide-book-2012-13-a.html
fuata hiyo link download hicho kitabu halafu anza kukipitia
eti unaposema wanarenconsider kwenye mkopo una maana gani?
kuna kozi ambazo kwa mujibu wa seriakli ndio prioity so ndio zitakuwa zinapewa high consideration kwenye mkopo ukiangalia kwenye majedwali ya kozi kuna kipengele kimaandikwa LOAN PRIORITY kwa hiyo cheki tu hicho utaona kozi gani zina priority na zipi hazina9. Students LoanThose intending to finance their studies through student loans should be aware that theGovernment has set priority programmes for which applicants can expect to get loans. TheGuidebook indicates thepriority and non-priority programmes and possible loan amount forpriority programmes in order to help applicants prepare themselves in finding alternativesources of financing their studies.Applicants are advised to carefully go through the criteria for one to qualify for student loansas spelt out by the Higher Education Students' Loans Board before selecting programmes andsubmitting their applications. This information can be obtained from the Board's websitewww.heslb.go.tz. Students should also pursue other financing options rather than relyingwholly on the HESLB.
nashukuru sananaamaisha hivi kwenye hicho kitabu ukisoma utaona haya maneno
kuna kozi ambazo kwa mujibu wa seriakli ndio prioity so ndio zitakuwa zinapewa high consideration kwenye mkopo ukiangalia kwenye majedwali ya kozi kuna kipengele kimaandikwa LOAN PRIORITY kwa hiyo cheki tu hicho utaona kozi gani zina priority na zipi hazina
Vipi kuhusu PCB. Div 3 ya 16
Phy-S
Chem-D
Bio-S
Vipi kuhusu PCB. Div 3 ya 16Phy-SChem-DBio-S
7. Minimum entry requirements for Admission into Higher Education InstitutionsThe minimum entry requirements set by TCU for University institutions and NACTE for non-University institutions are as followsa) For those with A Level Secondary Education qualifications, the minimum entry intodegree programmes offered by universities shall be TWO principal passes and a total of2.5 points;
daah ukikaa kimya utapungukiwa kamanda..?we nenda gairo kalime viazi.
daah ukikaa kimya utapungukiwa kamanda..?
HIST-S GEO-E na KISW-D Msaada jamani III-15
architecture ,bsc quantity survey,geology,minning engineering,bsc land valuation,civil engineering,mechanical engineeeringwazoefu msaada jamani
phy-e
geo-d
math-d
coz gani naeza pata na mkopo pia???