Naombeni msaada wa kucomfigur mozila ili niweze kupata mtandao free kwa kutumia Moderm ya voda

moseskafuno

New Member
Aug 10, 2012
3
0
Wana JM naombeni mnisaidie ishu ya kucomfiger mozila ili niweze kutumia mtandao free yaani bila credit. cause kuna jama kafanya hivyo na kafanikiwa anatumia modem ya Voda. kama una jua naombeni msaada wako.
 
mh? ivi kumbe kuna ujuzi kama huo? si umwambie uyo jamaa aliyefanikiwa akusaidie?
 
Du jamaa kakudanganya kwani Mozilla ni ni mtoaji wa huduma za Internet kama Explore ambapo unaenda Google na huko ukijaza Free download utapata huduma hiyo lakini kwa kupitia provider kama Tigo, Voda, BlackBerry, Zantel, Airtel nk
Lakini utoke direct via Modem ya Voda sijawahi ngoja waje wataalam
 
Back
Top Bottom