Naombeni mnieleweshe wapendwa

Je amewahi kukuonyesha girl friend wake ? na kama unamfahamu mna mahusiano gani na G/F wake ...unaitwa wifi or ?
Mie napata wazo huyo Kaka anakupenda lakini kutokana na heshima mnayopeana anashindwa kurusha ndoano.

anadai eti hana girlfriend na sijawahi kumuona akiwa na mpenzi wa kike.
 
Siyo kila anayetumia hayo maneno huwa inamaana anakufeel, mimi naona ni majina ya kawaida tu kwa rafiki yako, ndo maana kama ulivyobainisha utakuta wadada wengi tunaitana mpenzi, sweetheart, etc, ha hakuna feelings zozote. Lakini ni vizuri kuliweka hili jambo wazi maana wengine wanachanganyikiwa na haya maneno. Kuna siku nilimusms rafiki yangu (mwanaume), sms ya kawaida tu ila nikaweka neno "my dear". Kwa bahati 'nzuri' wife wake akaiona, moto uliwaka...............
 
anadai eti hana girlfriend na sijawahi kumuona akiwa na mpenzi wa kike.

Sasa hapa naanza kuweka alama za mshangao na kujiuliza maswali kadhaa. ana matatizo? kwa nini asiwe na rafiki wa kike? au muda bado haujafika? Enzi hizi za utandawazi! enzi zetu zile ilikuwa sawa, siyo sasa
 
sasa kama na mimi nam-feel nifanyeje ajue kuwa na mim nam-feel as anaona soo kusema yaliyoko moyoni mwake!(nauliza tu sio kuwa ndio nam-feel jamani,nataka tu kujua incase rafiki zangu inawatokea na wananiomba ushauri ila mim simfeel coz ni rafiki yangu wa kawaida).[/QUOTE]

Je unaweza kujaribu??? Utaweza???? Kama hivyo ndivyo basi Mkiwa pamoja jaribu kumshikashika mkono au kwenye kiganja mtomasetomase wakati wewe unaongea topic tofauti ambayo haihusiki na majambos na pengine very serious topic. Halafu utaona reaction.
Ngoja kidogo. Umesema mwanaume? HATARI HIYO; kuna msemo Shetani mkimbie usikubali kukutana naye uso kwa uso, utashindwa majaribu. Kaa mbali binti nanhih sijui........................
 
Sasa hapa naanza kuweka alama za mshangao na kujiuliza maswali kadhaa. ana matatizo? kwa nini asiwe na rafiki wa kike? au muda bado haujafika? Enzi hizi za utandawazi! enzi zetu zile ilikuwa sawa, siyo sasa

hivi mtu asipokuwa na girlfriend lazima awe na matatizo best?sidhani kama mtu unakuwa na mwenza eti sbb muda umefika,hapana, mim ninaamini mtu unakuwa na girlfrind/boyfriend pindi unapokutana na mtu unayempenda/pendana.pia sijajua unaongelea kufika kwa muda gani shosti wangu.
ninaamini kuwa kila binadamu kuna kipindi amewahi kuwa bila girlfriend/boyfriend na ndio maana kuna kundi la watu wanaitwa SINGLES na kuwa single haimaanishi kuwa una matatizo shosti wangu!
 
sasa kama na mimi nam-feel nifanyeje ajue kuwa na mim nam-feel as anaona soo kusema yaliyoko moyoni mwake!(nauliza tu sio kuwa ndio nam-feel jamani,nataka tu kujua incase rafiki zangu inawatokea na wananiomba ushauri ila mim simfeel coz ni rafiki yangu wa kawaida).

Je unaweza kujaribu??? Utaweza???? Kama hivyo ndivyo basi Mkiwa pamoja jaribu kumshikashika mkono au kwenye kiganja mtomasetomase wakati wewe unaongea topic tofauti ambayo haihusiki na majambos na pengine very serious topic. Halafu utaona reaction.
Ngoja kidogo. Umesema mwanaume? HATARI HIYO; kuna msemo Shetani mkimbie usikubali kukutana naye uso kwa uso, utashindwa majaribu. Kaa mbali binti nanhih sijui........................[/QUOTE]

hahaa uuwiii sitaweza,jesus krist,kufikiria tu hayo uliyoandika naanza kuona aibu,ujue namuheshimu sana, siwezi kumfanyia hivi ataniona kipepe bure wakati anaamini kuwa mim ni mtu wakujiheshimu.
nitafuata ushauru huo niliopigia mstari.
 
Kwani wewe ungependa iweje! I mean siku atakapoamwua kuvunja ukimya, will you say YES OR NO!!!
 
ahahahahaaa...kwann damu ikuchemke...thats what i do believe..maana nyie kina mama mwanaume mnayempenda huwa mnauficha upendo wenu nyuma ya pazia la "heshima"...so mie najua "UKINIHESHIMU'..means "UNANIPENDA NA KUNIZIMIKA MBAYAAA"...sema mmeumbwa kutongozwa...then I DO ZE NIDFULL

:becky::becky::becky::becky::becky:
 
sasa kama na mimi nam-feel nifanyeje ajue kuwa na mim nam-feel as anaona soo kusema yaliyoko moyoni mwake!(nauliza tu sio kuwa ndio nam-feel jamani,nataka tu kujua incase rafiki zangu inawatokea na wananiomba ushauri ila mim simfeel coz ni rafiki yangu wa kawaida).[/QUOTE]

thread nzima inanukia harufu ya cheusidawa kumfeel huyu mshikaji......................!,hapa tu inabidi tumpe ushauri wa jinsi gani amuoneshe jamaa kuwa na yeye(cheusi) amekufa............................!.
lucky dude.............,agggr................!why cheusi.............!
 
ni rafiki yangu namuheshimu sana kwa hiyo sitaki iwe vyovyote zaidi ya urafiki tulionao sasa.
Kwani wewe upo single? Kama upo single huyo ndio anayekufaa.Huyo bila shaka anakupenda na anakuheshimu, what else do u want dada Cheusi?
 
kaka abdul nimekumiss,umeadimika ktk macho yangu,nafurahi kukuona tena kaka yangu,hopefuly hujambo kaka.
 
sasa kama na mimi nam-feel nifanyeje ajue kuwa na mim nam-feel as anaona soo kusema yaliyoko moyoni mwake!(nauliza tu sio kuwa ndio nam-feel jamani,nataka tu kujua incase rafiki zangu inawatokea na wananiomba ushauri ila mim simfeel coz ni rafiki yangu wa kawaida).

thread nzima inanukia harufu ya cheusidawa kumfeel huyu mshikaji......................!,hapa tu inabidi tumpe ushauri wa jinsi gani amuoneshe jamaa kuwa na yeye(cheusi) amekufa............................!.
lucky dude.............,agggr................!why cheusi.............![/QUOTE]

???
 
haya cheusi mangalaaaa...pole sana ila navyozidi kukusoma ni kuwa "u feel this budy" sema ngawo yako ya "kuheshimiana" unayoitumia unaona kama inakuwia ngumu sana kuiondoa..its like this...

KWA KILA MWANAUME YEYOTE AWAYE CHINI YA JUA...DEMU/MWANAMKE MZURI NA CHAGUO LA NAFSI YAKE KWA WAKATI WOWOTE NI YULE AMBAYA HAJAWAHI KUMJUA MAUNGONI MWAKE"..

soo u r standing a great chance ya kumpata huyu jamaa hata kama mnaheshimiana sana....du a lil trick to hook him up in ur "poisonous love trap"...in any occassion utayokutana naye mwombe akusaidie kuadjust ur bra-strips and to zip-up ur back-zippet minskirt...si unajua tulivyokuwa week na viji-sehemu kama hivyo...pia itasend a serious signal that in a very coming soon atakuwa invited to untie whatever inside your cloths...asipoonyesha kulegea kwa hizo trick...

COME N SEE ME FOR FURTHER STEPS
 
uwiii huu ushauri wako hatari.lol.
hata hivyo umenielewa vibaya tu.
 
kaka abdul nimekumiss,umeadimika ktk macho yangu,nafurahi kukuona tena kaka yangu,hopefuly hujambo kaka.
Mi mzima kwa uwezo wake Manani Mola. Hata mie nlikukosa nategemea ni kheri huko utokako. Inshallah suala lako litapata utatuzi dadangu.
 
uwiii huu ushauri wako hatari.lol.
Hata hivyo umenielewa vibaya tu.

siamini wala sitaki kujiaminisha kuwa nimekuelewa vibaya...cheusi mangalla...we men knws better to read u gals between ur lil lines...believe me honey..huyu jamaa wewe unamtamani mbayaa sema unakuwa huna jinsi kwa kuwa tuu "mnaheshimiana"..mie nimekupa tips za kumtega naye ajue heshima inatakiwa ikuwe na kuwa uhusiano wa mapenzi ulojaa heshima... Ni maoni yangu tu anyway
 
no comento!
 
Back
Top Bottom