Naombeni mnieleweshe wapendwa

kaka abdul nimekumiss,umeadimika ktk macho yangu,nafurahi kukuona tena kaka yangu,hopefuly hujambo kaka.

Du we cheusi, mbaona unawatega watu. Sasa unaanza kumuita abdul kaka, ina maana hutaki na yeye aanze kukutongoza. Usizibie watu kwa heshima kubwa kupita kiasi.
 
Du we cheusi, mbaona unawatega watu. Sasa unaanza kumuita abdul kaka, ina maana hutaki na yeye aanze kukutongoza. Usizibie watu kwa heshima kubwa kupita kiasi.

uncle bongolander usiusemee moyo wa abdulhalim,mim na abdul ni mttu na kaka yake na tumetoka mbali,mi na yeye tukitongozana tutahesabika kama ndugu wenye laana.
 
Kama ni mimi ujue namaanisha......
Nikikuita mpenzi ujue kuna siku nitaomba
kitumbua........lol
 
uncle bongolander usiusemee moyo wa abdulhalim,mim na abdul ni mttu na kaka yake na tumetoka mbali,mi na yeye tukitongozana tutahesabika kama ndugu wenye laana.

Sawa nimekuelewa sana, lakini naomba mimi usije ukaniweka huko. MImi mwenyewe hapa bado bachelor kwa hiyo usiniwekee vikwazo, hata hiyo uncle naona kama inaanza kunizuia kidogo.
 
huyu rev masanilo ni nani/anahubiri kanisa gani huwa ananifurahisha sana na post zake
Hana maana yeyote kama hajawahi kukuomba tunda! Mbona mimi huwa nawaita wapendwa wapenzi wangu waumini nikiwa sina dhamira ya kuwakwaza! Acha kujishuku.
 
usimuwazie mabaya subiri uone mwisho wake huenda ni maneno tu mpenzi
 
wewee naweeee..yani na ukubwa wako na ujanja wako hujui kuwa kuna midume MIDOMO GANZI...kusema haiwezi INAONGEA KWA ISHARA NA LUGHA YA PICHA...kwa taarifa yako huyo jamaa anakufeel kinoma sema anakuonea soo kuvunja ukimya...

NDO MAANA WATU WA MAREKANI WAKALIONA HILO ....pia mie huwa sielewi mnaposema "namuheshimu sana".....ujue ukimuheshimu mtu sana ina maana upo tayari kumpa chochote atachohitaji....ndo maana mie huwa nawatongoza wale wote wanaosema wananiheshimu sana na huwa tunaishia kulana matunda ya miti yetu ya kati

....NI MAONI TUU

lav you all.
[/QUOTE]

hili nalo neno..linahitaji angalizo
 
Kwetu sisi tusioamini katika urafiki wa kiwango hicho kati ya mwanamke na mwanamme......:A S 8:
 
Cheusi dada yangu maadam ushalijua hilo hebu kuwa mtu mzima; kama nawe umeufeel mzigo msaidie mwenzio...........ya nini malumbano?:becky:
 
Back
Top Bottom