kwanza lazima utuambie unakopatikana namaanisha unakoishi ndipo 2tapata urahisi wa kukushauri vizuri.
Mimi nataka king'amuzi cha DSTV jamani, ebu naombeni mnijuze kuhusu Initial Basic Cost kwanza, i mean cost ya ku'instal ya Dish + icho king'amuzi kwanza, kwa maana masuala ya Packages hiyo mi nadhani itakuwa ni suala la uchaguzi tu sasa baada ya kuwa nshaotesha kitu juu ya paa ...
Mkuu kama una hela
yako ya kutosha DSTV haina mpinzani na picha ziko clear kweli kweli,
yaani mtu unaona kwamba Waingereza ni moto wa kuotea mbali katika
masuala ya kitekonolojia ya usambazaji wa mawimbi ya TV. We sema tatizo
linatokea wakati mvua ikinyesha nyingi mawasiliano yanakatika kwa kuwa
mawimbi ya Ku-Band yanazuhiwa na maji kirahisi.
Narudia KUSEMA TENA kwamba, ukiwa na hela yako utasikitika kununua
kingamzi na dish la DSTV.
Tatizo local channels zimejaa za kenya tu.
Nashukuru!Hapana hapa mdada umeingia chaka. Kuna vfurus tofaut na vna majna tofaut. Ukilipia cha 18000 kuna more chanels na 9000 unapata few chanels. Fatilia kwa umakini....
Tatizo local channels zimejaa za kenya tu.
Easy tv wanapatikana huku mikoani?mf Mwanza. Kwa wapenzi wa HBO na documentary za discovery channel(sipendi mpira!) ninunue king'amuzi gani?
9000 mwezi mmoja
18000 miezi miwili
36000 miezi mitatu