Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam.
Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa;
Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu.
Nina uwezo wa kuongea na watu vizuri (kiingereza na kiswahili). Nina elimu ya chuo (bado mwanafunzi) nina experience na kazi ya ufundishaji masomo ya kiingereza na literature kwa ngazi ya O'level. Pia, nina experience ya kufanya kazi za mitaani kama kuosha vyombo, usafi na nyingine nyingi Ninaweza kuandika, kuedit na kutunga mashairi, riwaya na tamthilia.
Mwisho kabisa, sibagui kazi, mi nafanya kazi yotote inayopatikana mtaani au sehem yoyote.
Naomba kuwasilisha
Hubagui kazi na wakati umeshasema hutaki kazi za kutumia nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣.

Maliza kwanza masomo kijana ,usikimbilie suti wakati nepi hujavaa.
 
Hubagui kazi na wakati umeshasema hutaki kazi za kutumia nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣.

Maliza kwanza masomo kijana ,usikimbilie suti wakati nepi hujavaa.
Kweli kiongozi, nimekupata. Sema kuna sababu ya kusema siwezi kazi zenye kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu. Ila mbali na hapo kazi yoyote nafanya kiongozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom