okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,795
- 2,863
GWAJ BOY si alisema ile show sio yake.Kwani Gwajima alipiga yule mdada kwa kifo cha mende?
Wana stylé nyingi tu wazijuazo
GWAJ BOY si alisema ile show sio yake.Kwani Gwajima alipiga yule mdada kwa kifo cha mende?
Wana stylé nyingi tu wazijuazo
Huyu hawezi kuwa binti.Tafuta pesa binti utakufa masikini na mawigi tu
GWAJ BOY si alisema ile show sio yake.
Pastor alikuwa anazungushaaAlijitetea tu 😂
Siku hizi kuna Gwaji style, vijana walishaiboresha 😂Pastor alikuwa anazungushaa
Jf countryWe hujui kuwa huyo mwanaume wake anayemuachaga akiteseka na nyege zake ni wa hapa hapa jf country?
Hawezi kutafuta shababy humu JF, anasema kuna njemba ilimuombaga tigo pm
Hii malaya imeiva
Ukimtamani, ndo ushazini naye..!! Si mimi, ni bibliaNimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine.
Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu kisha anageukia upande mwingine na kulala fofofo na kuniacha na nyege zangu nikiteseka.
Nikiwa nakereka na mwanaume wangu, ametokea mkaka huyu na kunivuruga kabisa, kanifanya nimpende sana bila masharti. Ananivutia sana kwa kweli, na anajaribu kunifanya niwe naye kila saa ni mcheshi na mchangamfu mno kwangu.
Ana sauti tamu na kila akiongea huwasha moto ndani yangu.
Shida ipo hivi, huyu mkaka ameoa. Ila bado sijalala naye; na yeye ni mchungaji wa kanisa.
Nawaza nifanyeje ili nisiingie katika dhambi ya kuzini na huyu pastor maana amenishika pabaya.
Naomba ushauri wako tafadhari.