Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,377
5,147
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya .

Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara.
Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
 
Mbegu bora ya nyanya ni ANSAL F1, hii ni Hybrid. . Hakikisha unaandaa mbolea ya kutosha kulingana na ukubwa wa shamba utakalo lima.
 
Mkuu watafute Hawa jamaa wa Epinavi Aggro solution Wana mbegu nzuri sana kama
Tanzanite F1
Captain F1
Bansali
Salina na miraco F1
Mimi Nina Tanzanite F1 ni habari nyingine kabisa Kwa upande wa mbegu ya nyanya
Hizo zingine kama dhahabu,imara zisubiri kwanza ahsantee.
 
Back
Top Bottom