Shukurani mkuuMimi nalima nyanya aina ya Imara F1 saivi nimeanza kuchuma dawa ninazo tumia ni
Kudhibiti Wadudu/ kantangaze natumia Vuruga ambayo napiga Kila baada ya siku Saba huwa sichanganyi na mbolea za maji maana ndani yake tayali inakiwango Cha mbolea ya maji
Kudhibiti Ukungu natumia Master Kutu, Inovex na Blue copper huwa napiga Kila baada ya siku nne Hadi Saba inategemeana na kiwango Cha mvua, ivyo niakianza na master Kutu nakuja na Blue copper then Inovex
Unalimia wap mkuu???? .... na shukuru Mungu nime pishana nilipanda toka Dec joto lilikuwa Kali ila nilikuwa na komaaa na kumwagia Mungu mwema mvua kuja nyanya tayar zilikuwa zimeanza kuinuka Miche imenyooka , soon na Anza vuna ,......mvua zimekukuta ukiwa umeweka kwenye vitalu au ardhini umepanda???? Jitahid kuwekeza kwenye dawaWadau na watalaamu wa kilimo cha nyanya hali ya mvua inatishia kwa uzalishaji wa nyanya tupeane mbinu mbalimbali za kupambana na hali iih ni sumu gani zinafaa kupuliza? Natanguliza shukurani
The same too nime panda mbegu hiyo hiyo mkuu mambo sio Haba ....huko kwenu mbolea ya can Ina patikana?Mimi nalima nyanya aina ya Imara F1 saivi nimeanza kuchuma dawa ninazo tumia ni