Huyo unayemuita mchumba kwanza si mchumba wako, huyo ni girlfriend wako. Hadi aitwe mchumba kuna mchakato mnatakiwa kuupitia ikiwa ni pamoja na wazazi wa pande zote mbili wajue mfano kujitambulisha kwa barua. Pili, huyo binti hajaokoka, mtu aliyeokoka hawezi kumuogopa mwanadamu kuliko Mungu!! never, ukimuogopa mwanadamu, na Mungu anayeona kila kona ya dunia hii hata iwe chini ya bahari inakuwaje?
Nakushauri, kwanza umuulize hivi wewe ni mlokole au wazazi wako ndiyo walokole? au unataka watu wakujue kwamba wewe ni mlokole kumbe sivyo ulivyo? Kama anakudanganya sasa kuwa yeye ni mlokole wakati mnachakachu, hivi ukimuoa una uhakika gani kama wewe uko peke yao? Ni afadhali awe hajaokoka kabisa kuliko kusema ameokoka wakati siyo.
Na wewe kwa upande wako, uanpotafuta mchumba muombe Mungu kwanza akupe mke unayefanana naye, na acha kuanza mapenzi na binti utayekampata kabla ya ndoa, ni dhambi ndg yangu , kama unajaribu utajaribu wangapi mpaka kufikia kuoa? Muweke Mungu mbele mambo yako yatafanikiwa siku zote