Naomba ushauri, nimwache au niendelee

Huyo unayemuita mchumba kwanza si mchumba wako, huyo ni girlfriend wako. Hadi aitwe mchumba kuna mchakato mnatakiwa kuupitia ikiwa ni pamoja na wazazi wa pande zote mbili wajue mfano kujitambulisha kwa barua. Pili, huyo binti hajaokoka, mtu aliyeokoka hawezi kumuogopa mwanadamu kuliko Mungu!! never, ukimuogopa mwanadamu, na Mungu anayeona kila kona ya dunia hii hata iwe chini ya bahari inakuwaje?
Nakushauri, kwanza umuulize hivi wewe ni mlokole au wazazi wako ndiyo walokole? au unataka watu wakujue kwamba wewe ni mlokole kumbe sivyo ulivyo? Kama anakudanganya sasa kuwa yeye ni mlokole wakati mnachakachu, hivi ukimuoa una uhakika gani kama wewe uko peke yao? Ni afadhali awe hajaokoka kabisa kuliko kusema ameokoka wakati siyo.
Na wewe kwa upande wako, uanpotafuta mchumba muombe Mungu kwanza akupe mke unayefanana naye, na acha kuanza mapenzi na binti utayekampata kabla ya ndoa, ni dhambi ndg yangu , kama unajaribu utajaribu wangapi mpaka kufikia kuoa? Muweke Mungu mbele mambo yako yatafanikiwa siku zote
 
Kwanini unasema hivyo? kwani uchumba maana yake nini? au unataka kutudanganya kuwa walokole wanaowana bila kuwepo uchumba!

Labda kama jamaa anachakachua tu alafu ndio anaita uchumba, mi ninavyojua mchumba ni mtu ambaye anajulikana hadi kwa wazazi iweje leo afichwe huko kituoni kuliko na kazi! angalia sana Mkuu hapo kuna kitu hatari sana kinaendelea na wewe unaweza kuwa spare tyre. Hawa dada zetu ni kama sisi tu! yamkini kampata mtu mwingine huko wanafanya kazi wote, maana mimi nadhani angeona ufahari kukufahamisha kwa rafiki na wafanyakazi wenzake kuwa wewe ndio mume mtarajiwa!

Wanawake wa siku hizi si kama wa zamani, nao siku hizi kuna wengine wanakupa mme mwenza husipo kuwa macho.
walokole huwezi ukafanya mapenzi na msichana mpaka mkaoane kwanza hata kama ni wachumba,ile kitendo tu cha kukuona umesimama na mwingine ambaye si wa dini yako wanaweza wakakutenga,so hapo ujanja ni kubadili dini,kuwa mlokole au umfuate dini ya huyo mwingine.
 
usimwache bwana mi walokole nawafahamu,kweli wakimwona unaishi au kukaa naye bila ndo wanaweza kumtenga au kumfukuza kanisani,we mvumilie tu inawezekana amezungukwa sana na walokole kwenye hayo maeneo ndo mana anaogopa.
Walokole si malaika ni binaadamu wanaokwazwa na kukwazika kama wengine..tofauti yao na wewe ni udomokaya...ILA kuhusu mke..Hapo hakuna mke..huyo dada ana kisusio chake eneo hilo ambacho anataka asielewe km ana kakisusio kengine ka ziada pembeni... Mapenzi ya kweli hayapaswi kufichwa kwani nani asiyefahamu kuoa/kuolewa ni mchakato ambao si mgeni hata kwa lokole ama singasinga.
 
Kwanini unasema hivyo? kwani uchumba maana yake nini? au unataka kutudanganya kuwa walokole wanaowana bila kuwepo uchumba!

Labda kama jamaa anachakachua tu alafu ndio anaita uchumba, mi ninavyojua mchumba ni mtu ambaye anajulikana hadi kwa wazazi iweje leo afichwe huko kituoni kuliko na kazi! angalia sana Mkuu hapo kuna kitu hatari sana kinaendelea na wewe unaweza kuwa spare tyre. Hawa dada zetu ni kama sisi tu! yamkini kampata mtu mwingine huko wanafanya kazi wote, maana mimi nadhani angeona ufahari kukufahamisha kwa rafiki na wafanyakazi wenzake kuwa wewe ndio mume mtarajiwa!

Wanawake wa siku hizi si kama wa zamani, nao siku hizi kuna wengine wanakupa mme mwenza husipo kuwa macho.
Tawilee!!!:pound:
 
Ya leo kali!!!
Pole sana na kugeuzwa mfungwa!Amua umvumilie au umpotezee...

Mapenzi Yana Mambo,ukiamua kuendelea nae ujue umejikabitdhi utumwani,mapenzi ni hiari ,ni furaha na amani,kukataa kwenda kazini kwake
si tatizo inategemea na taratibu za kazi yake lakini kufungiwa ndani ni suala lingine think twice before you move:A S 103:
 
Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
Ulivyokuwa kwake alikuruhusu kula TUNDI?
 
usimwache bwana mi walokole nawafahamu,kweli wakimwona unaishi au kukaa naye bila ndo wanaweza kumtenga au kumfukuza kanisani,we mvumilie tu inawezekana amezungukwa sana na walokole kwenye hayo maeneo ndo mana anaogopa.

But, mlokole anapata je mke bila kuwa na mahusiano naye kwa muda na amwelewe mwenziye vizuri? nisaidieni ili niweze kumshauri mwenzangu apo
 
hayo ndo mateso bila chuki na bado unamwita ni mchumba wako,
kitendo cha kufungiwa tu kinakutosha sana kuamua umuache au la
kesho atakupeleka segerea kwa mwezi mzima huyo.......
 
But, mlokole anapata je mke bila kuwa na mahusiano naye kwa muda na amwelewe mwenziye vizuri? nisaidieni ili niweze kumshauri mwenzangu apo

Pretty P,mapasta wengi unakuta wanaruhusu tu mkutane kanisani,na mkionekana nje ni kosa hata kama nye wote wawili ni kanisa moja,kuna kanisa moja ilikuwa karibu na kwetu,yaani unakuta watu wanaongea mambo yao ya ndoa ndani ya kanisa halafu unakuta pasta anazunguka zunguka kwa nje,yaani wengi unakuta ujanja wa kufanya mapenzi ni kutumia kisingizio cha safari
 
Na wewe amua kuokoka,halafu utajua kama hiyo sababu anayokupa ni yakweli ama la!huwezi kujua sheria za walokole ukiwa nje ya ulokole.
 
Back
Top Bottom