Naomba ushauri na experience ya kupeleka nakuuza gemstones Canada au Australia kutoka Tanzania

Obadiahmayunga

Senior Member
Sep 19, 2014
163
109
Mimi naitwa Obadiah, jinsia mwaname, jamani naomba ushauri na experience ya kununua gemstones Tanzania na kupeleka kuuza Canada kwasababu nina VISA ya Canada na nimetafuta VISA because nataka kuwa naenda kuuza gemstones kule Canada.

Jamani najua hapa kwenye hii forum kuna wadau wenye experince ya kutosha kuhusa what are on demend gemstones japokuwa nasikia gemstones zote wananua wapi nauza kwa urahisi zaidi and iam very serious wadau i mean very serious, bei zao zikoje and et cetera.

Jamani naomba ushauri wenu wadau, please naomba sana.

Shukrani zangu za dhati kabisa

My regards
OBADIAH.M.M
 
mimi naitwa obadiah,jinsia mwaname jamani naomba ushauri na experience ya kununua gemstones Tanzania na kupeleka kuuza canada kwa sababu nina visa ya canada na nimetafuta visa because nataka kuwa naenda kuuza gemstones kule canada jamani najua hapakwenye hiiforum kuna wadau wenye experince ya kutosha kuhusa what are on demend gemstones japokuwa nasikia gemstones zote wananu,wapi nauza kwa urahisi zaidi and iam very serious wadau i mean very serious,bei zao zikoje and et cetera jamani naomba ushauri wenu wadau please naomba saana,natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
my regards
OBADIAH.M.M
inasikitisha sana mtu anapoomba ushauri from A to Z . yaani wewe hujui kununua gemstone na kuziuza. harau ulichonacho pekeee ni visa ya canada. any way mimi sijui huko soko la canada. but naomba nikushauri jifunze kwanza kununua na kuuza ndani ya tanzania. ukishajua hapo itakuwa virahisi sana kupeleka canada. biashara hiyo ni nyepesi sana. na kazi ngumu katika biashara hiyo siyo kuuza bali nikununua mzigo. unaweza kuwa na pesa na usipate mzingo. na pia neno gemstone ni combination sana. kunaaina nyingi sana ya gemstone jifunze nazo pia uzifahamu.
 
asante saana kaka but kuhusu kununua najua na ninayajua saaana gemstone ilibidi nijifunze for three years now nataka kutengeneza market yangu canada na australia ndio maana nkatafuta visa ya canada sema where to sell ndio issue but where to buy is not the main problem to hapa Tanzania napajua ila all want to create the market in Canada and Australia thats whats up
 
ok. nimekuelewa. kaza buti mkuu utafanikiwa tu. masoko yanasumbua huko nje kuyapata
 
Navyojua soko kubwa la gemstones ni bangkok,thailand na hongkong...huko ndo pilika nyingi za gemstone zilipo...kwa nini usifanye kwenda kuuza arusha tu..kuwa na visa ya canada isikuforce wewe kwenda kufanya biashara canada...cha msingi labdaa ugoogle companies zinazodeal na hzo vitu kutoka canada...but usishangae hata wa uko canada wanatoa mizigo bangkok
 
mimi mwenyewe nafanyia biashara zangu arusha but patner wangu ndio ana watu canada sema wale ni watanzania soo wanamyonya wanauza bei kubwa ndio maana nataka kwenda kule kutengeneza market
 
Mkuu upatikanaji wa gemstone unachangamoto zake mpaka kupata mzigo wa kutosheleza ila jaribu ku deal pia na cheapstone maana upatikanaji wake wakati mwingine hausumbui mfano eneo nilipo inapatikana zircon
 
Za leo mkuu?
Vipi zircon unazipata wapi?
 
Mkuu zircon nyekundu inapatikana kwebamba wilaya ya korogwe vijijini kilomita takribani 50 kutoka korogwe mjini
 
Mkuu upatikanaji wa gemstone unachangamoto zake mpaka kupata mzigo wa kutosheleza ila jaribu ku deal pia na cheapstone maana upatikanaji wake wakati mwingine hausumbui mfano eneo nilipo inapatikana zircon
Allgem,
Hapa Tz tuna Cheapstone za aina gani na zinapatikana wapi zaidi . . ?!
Hebu funguka zaidi mkuu . . , na masoko yake ni wapi . . ?
 
Mkuu nchi yetu inayo madini mengi sana kuyataja yote sitaweza katika cheapstone inategemea wewe unatafuta ya aina gani ukiiweka hapa wadau wapo wengi hapa watakufahamisha inapopatikana na soko lake pia... Kwa mfano zircon inapatikana Tanga na soko lake ni arusha Dar Mombasa Tanga

Asante
 
kuongezea.

alimandate
redgarnet
sunstoni
yellow scoplite
amasisti
apetait
rodilite
alimadini
quatz
 
asante saana kaka but kuhusu kununua najua na ninayajua saaana gemstone ilibidi nijifunze for three years now nataka kutengeneza market yangu canada na australia ndio maana nkatafuta visa ya canada sema where to sell ndio issue but where to buy is not the main problem to hapa Tanzania napajua ila all want to create the market in Canada and Australia thats whats up

Kwa nn usiulize apo ulipochukua iyo visa,
 
Back
Top Bottom