Naomba ushauri kuhusu kozi ya Hotel Management

Bhujegwe

Senior Member
Nov 23, 2013
135
191
Naomba kuchukua fursa hii kuuliza juu ya mafunzo yanayotolewa vyuo vya ufundi,na kwa umuhimu wa pekee natafuta kujua ni muda upi unahusika kwa mtu kusoma hadi kuhitimu course ya Hotel Management.

Swali langu linajengwa na utata uliopo kwa vyuo hivi huku mitaani. Kuna vyuo kwenye matangazo yao vinaandika kozi ni miezi 6,vingine miez 9 na pia vipo vinavyoandika mwaka mmoja. Hali hiyo inatutatiza wazazi na kushindwa kujua kiuhalisia yupi ni mkweli na yupi si mkweli.

Nisaidieni kupata uamuz sahihi wa wapi nimpeleke kijana wangu ambaye ameonyesha nia yake ya kusoma hiyo kozi.

Ahsanteni!
 
Mlete Arusha institute of technology
Hapa tunatoa ngazi ya cheti kwa mwaka mmoja
Diploma miaka miwili
Gharama za masomo ni nafuu sana
Chuo kimesajiliwa na VETA na ICM
Tuwasiliane 0625234332
 
Back
Top Bottom