Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 2,745
- 6,915
NAKAZIA 📌 🔨kwahiyo lengo lako la kupima Mara kwa mara ni kutaka ukutwe unao right?
kwanini unalazimisha ukutwe nao? una madhumuni gani hasa?
Acha izo bana,
fanya mazoezi, kula vizuri, pumzisha mwili wako, stress ni jambo ambalo hupelekea watu wengi sana kuwa na changamoto ya afya ya akili.
Afya ya akili maana yake ni kupanga, kufikiri, kuwaza na kutenda mambo ambayo yana kuathiri zaidi wewe mwenyewe.
Tafadhali usibaki katika hiyo hali japo umekuja kujaribu kuiondoa hali hiyo humu jukwaani, pole sana na tafadhali usipende kwenda hospitali kupima kitu ambacho huna, hiyo inaashiria unatamani uwe nacho.