Naomba ushauri au msaada kwa hili

Black Walker

Senior Member
Oct 8, 2018
107
238
Wakuu! Habari za muda huu?

Mimi ni mwanaume mwenye mke na watoto kadhaa, shida yangu ni kwamba nimekuwa nikijihisi kuwa huenda nimeathirika lakini kila nikienda kufanya vipimo majibu yanasomeka negative.

Nilianza kujihisi kuwa hivi kama miaka 11 iliyopita nikaanza kuwa ni mtu wa hofu na mawazo mengi sana yasiyokoma hali hii ilipelekea niwe nahudhuria hospitalini na vituo vya afya mara kwa mara kwa ajili ya kujiridhisha lakini majibu yakitoka yako negative.

Nikaona labda nadanganywa nikawa naenda hadi baadhi ya vituo nalipia lakini majibu yakitoka ni vile vile.

Mwaka jana nilisafiri kwenda mkoani Shinyanga kule nako nikaenda kupima lakini majibu yalivyotoka niko sawa.

Hata navyoandika hapa nina miezi mitatu nimetoka kupima hospitali ya private tena kwa kulipia lakini majibu ni the same.

Ni mtu ambae nina mwili wa kawaida lakini nikijitathmini naona kabisa kwamba kuna shida mahali sio kama nilivyokuwa hapo kabla.

Kiukweli kuna muda nachoka lakini najikaza nikiwaangalia watoto wangu moyo unaniuma sana.

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia nipo tayari kufanya vipimo tena na tena na nikigundulika ni mgonjwa pia ninao utayari wa kuanza tiba.

Napatikana Morogoro mjini. Ahsanteni.
 
Wakuu! Habari za muda huu?

Mimi ni mwanaume mwenye mke na watoto kadhaa, shida yangu ni kwamba nimekuwa nikijihisi kuwa huenda
Afya ya Akili ndo inashida unahitaji kuwa karibu na Mtaalamu wa magonjwa ya Akili maana umemtengeza goliati (hofu) ndo unatembea naye kila Sehemu

Utapona endapo unaacha ngono na kwenda kupima Afya ya Akili.
 
Sio muumini sana wa wanawake ila ni yule mtu nikiwa na rafiki nakuwa nae huyo huyo kwa muda mrefu.
 
Unaoenda kupata huduma za afya ukiwa na pre-assumptions sio vyema. Muhimu mwambie daktari wako wajihisije kisha atakushauri vipimo vya kufanya.
Huenda changamoto iko katika kiungo fulani cha mwili na bado haijatambulika
 
Wakuu! Habari za muda huu?

Mimi ni mwanaume mwenye mke na watoto kadhaa, shida yangu ni kwamba nimekuwa nikijihisi kuwa huenda nimeathirika lakini kila nikienda kufanya vipimo majibu yanasomeka negative.

Nilianza kujihisi kuwa hivi kama miaka 11 iliyopita nikaanza kuwa ni mtu wa hofu na mawazo mengi sana yasiyokoma hali hii ilipelekea niwe nahudhuria hospitalini na vituo vya afya mara kwa mara kwa ajili ya kujiridhisha lakini majibu yakitoka yako negative.

Nikaona labda nadanganywa nikawa naenda hadi baadhi ya vituo nalipia lakini majibu yakitoka ni vile vile.

Mwaka jana nilisafiri kwenda mkoani Shinyanga kule nako nikaenda kupima lakini majibu yalivyotoka niko sawa.

Hata navyoandika hapa nina miezi mitatu nimetoka kupima hospitali ya private tena kwa kulipia lakini majibu ni the same.

Ni mtu ambae nina mwili wa kawaida lakini nikijitathmini naona kabisa kwamba kuna shida mahali sio kama nilivyokuwa hapo kabla.

Kiukweli kuna muda nachoka lakini najikaza nikiwaangalia watoto wangu moyo unaniuma sana.

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia nipo tayari kufanya vipimo tena na tena na nikigundulika ni mgonjwa pia ninao utayari wa kuanza tiba.

Napatikana Morogoro mjini. Ahsanteni.
Fanya haraka iwezekanavyo watafute wataalam wa magonjwa ya akili wakusaidie.

Hofu siku zote ni ugonjwa tishio zaidi ya yote.
 
Wakuu! Habari za muda huu?

Mimi ni mwanaume mwenye mke na watoto kadhaa, shida yangu ni kwamba nimekuwa nikijihisi kuwa huenda nimeathirika lakini kila nikienda kufanya vipimo majibu yanasomeka negative.

Nilianza kujihisi kuwa hivi kama miaka 11 iliyopita nikaanza kuwa ni mtu wa hofu na mawazo mengi sana yasiyokoma hali hii ilipelekea niwe nahudhuria hospitalini na vituo vya afya mara kwa mara kwa ajili ya kujiridhisha lakini majibu yakitoka yako negative.

Nikaona labda nadanganywa nikawa naenda hadi baadhi ya vituo nalipia lakini majibu yakitoka ni vile vile.

Mwaka jana nilisafiri kwenda mkoani Shinyanga kule nako nikaenda kupima lakini majibu yalivyotoka niko sawa.

Hata navyoandika hapa nina miezi mitatu nimetoka kupima hospitali ya private tena kwa kulipia lakini majibu ni the same.

Ni mtu ambae nina mwili wa kawaida lakini nikijitathmini naona kabisa kwamba kuna shida mahali sio kama nilivyokuwa hapo kabla.

Kiukweli kuna muda nachoka lakini najikaza nikiwaangalia watoto wangu moyo unaniuma sana.

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia nipo tayari kufanya vipimo tena na tena na nikigundulika ni mgonjwa pia ninao utayari wa kuanza tiba.

Napatikana Morogoro mjini. Ahsanteni.
kwahiyo lengo lako la kupima Mara kwa mara ni kutaka ukutwe unao right?

kwanini unalazimisha ukutwe nao? una madhumuni gani hasa?

Acha izo bana,
fanya mazoezi, kula vizuri, pumzisha mwili wako, stress ni jambo ambalo hupelekea watu wengi sana kuwa na changamoto ya afya ya akili.

Afya ya akili maana yake ni kupanga, kufikiri, kuwaza na kutenda mambo ambayo yana kuathiri zaidi wewe mwenyewe.

Tafadhali usibaki katika hiyo hali japo umekuja kujaribu kuiondoa hali hiyo humu jukwaani, pole sana na tafadhali usipende kwenda hospitali kupima kitu ambacho huna, hiyo inaashiria unatamani uwe nacho.
 
Sio kwamba siviamini nadhani nimeeleza vizuri mkuu.

Sijawahi kula dada poa na siwezi fanya hiyo mambo.
sasa unakwenda kufanya nini mara kwa mara?

bas hujielezi vizuri?

au unapata maumivu na hali ya homa isiyoelezeka? mueleze Dr bas hivyo
 
Wakuu! Habari za muda huu?

Mimi ni mwanaume mwenye mke na watoto kadhaa, shida yangu ni kwamba nimekuwa nikijihisi kuwa huenda nimeathirika lakini kila nikienda kufanya vipimo majibu yanasomeka negative.

Nilianza kujihisi kuwa hivi kama miaka 11 iliyopita nikaanza kuwa ni mtu wa hofu na mawazo mengi sana yasiyokoma hali hii ilipelekea niwe nahudhuria hospitalini na vituo vya afya mara kwa mara kwa ajili ya kujiridhisha lakini majibu yakitoka yako negative.

Nikaona labda nadanganywa nikawa naenda hadi baadhi ya vituo nalipia lakini majibu yakitoka ni vile vile.

Mwaka jana nilisafiri kwenda mkoani Shinyanga kule nako nikaenda kupima lakini majibu yalivyotoka niko sawa.

Hata navyoandika hapa nina miezi mitatu nimetoka kupima hospitali ya private tena kwa kulipia lakini majibu ni the same.

Ni mtu ambae nina mwili wa kawaida lakini nikijitathmini naona kabisa kwamba kuna shida mahali sio kama nilivyokuwa hapo kabla.

Kiukweli kuna muda nachoka lakini najikaza nikiwaangalia watoto wangu moyo unaniuma sana.

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia nipo tayari kufanya vipimo tena na tena na nikigundulika ni mgonjwa pia ninao utayari wa kuanza tiba.

Napatikana Morogoro mjini. Ahsanteni.
Mkuu, wewe huumwi, lakini unalazimisha unaumwa, kwanini? ungeelezea dalili unazohisi mwilini mwako ingesaidia kukupa ushauri.

Umeshapima zaidi ya Vituo 5 na vyote vinatoa majibu negative, hivyo usilazimisje ugonjwa ambao hauna.

Next time fanya check up ya mwili mzima, itakusaidia sana kijua pia hali ya mwili wako kwa ujumla.

Nakishauri uende kwa washauri nasaha kuna kitu utajifunza, na hayo mawazo yako yote uataisha.
 
Ahsante
 
kwahiyo lengo lako la kupima Mara kwa mara ni kutaka ukutwe unao right?

kwanini unalazimisha ukutwe nao? una madhumuni gani hasa?

Acha izo bana,
fanya mazoezi, kula vizuri, pumzisha mwili wako, stress ni jambo ambalo hupelekea watu wengi sana kuwa na changamoto ya afya ya akili.

Afya ya akili maana yake ni kupanga, kufikiri, kuwaza na kutenda mambo ambayo yana kuathiri zaidi wewe mwenyewe.

Tafadhali usibaki katika hiyo hali japo umekuja kujaribu kuiondoa hali hiyo humu jukwaani, pole sana na tafadhali usipende kwenda hospitali kupima kitu ambacho huna, hiyo inaashiria unatamani uwe nacho.
Ahsante,
 
Wakuu! Habari za muda huu?

Mimi ni mwanaume mwenye mke na watoto kadhaa, shida yangu ni kwamba nimekuwa nikijihisi kuwa huenda nimeathirika lakini kila nikienda kufanya vipimo majibu yanasomeka negative.

Nilianza kujihisi kuwa hivi kama miaka 11 iliyopita nikaanza kuwa ni mtu wa hofu na mawazo mengi sana yasiyokoma hali hii ilipelekea niwe nahudhuria hospitalini na vituo vya afya mara kwa mara kwa ajili ya kujiridhisha lakini majibu yakitoka yako negative.

Nikaona labda nadanganywa nikawa naenda hadi baadhi ya vituo nalipia lakini majibu yakitoka ni vile vile.

Mwaka jana nilisafiri kwenda mkoani Shinyanga kule nako nikaenda kupima lakini majibu yalivyotoka niko sawa.

Hata navyoandika hapa nina miezi mitatu nimetoka kupima hospitali ya private tena kwa kulipia lakini majibu ni the same.

Ni mtu ambae nina mwili wa kawaida lakini nikijitathmini naona kabisa kwamba kuna shida mahali sio kama nilivyokuwa hapo kabla.

Kiukweli kuna muda nachoka lakini najikaza nikiwaangalia watoto wangu moyo unaniuma sana.

Kama kuna mtu anaweza kunisaidia nipo tayari kufanya vipimo tena na tena na nikigundulika ni mgonjwa pia ninao utayari wa kuanza tiba.

Napatikana Morogoro mjini. Ahsanteni.

Habari!

Kama ilivyoelezwa hapo juu, ulichoeleza umekieleza vyema.
Hii kitaalamu inaitwa delusion of beliefs/ kuamini kwamba kitu husika kiko hivyo na hata ukielezwa ukweli, wewe unaendelea kupinga. Ingawa wewe mhusika hauna ushahidi wowote juu ya unachokikubali kuwa ndicho.

Hii ni moja ya dalili ya kutokuwa sawa kwa afya ya akili na inawezekana kuna mengine nyuma yake ambayo kama ukiwa wazi kwa wataalamu yatajenga msingi wa tatizo na pia jinsi ya kukusaidia.

Wakati mwingine ni vyema imetokea kwako, ingetokea kuamini hivyo kwa mwenzako ana hilo tatio ingekuwa shida sana maana ungemwambua anahonga ili majibu yawe anavyotaka. Ungemtesa sana.

Shida nyingine ni wewe kutokutambua tatizo, hivyo kwa wataalamu hakuna sababu ya kukulaumu. Kwanu ni sawa na wagonjwa wengine wowote.

Hivyo, ni vyema ukifika kwa mtaalamu wa afya ya akili kueleza yote mabaya vs mazito uliyopitia kwenye maisha. Hii itasaidi kujenga msingi wa kuepuka vianzilishi vya tatizo husika.

Kutana na wataalamu mapema zaidi.
Tiba njema.
 
Ahsante mkuu, ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom