Naomba Ukaribisho:Gozigumu

Gozigumu

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
254
3
Naitwa Hamid na naomba kujumuishwa katika jamii. Nategemea nitasaidi kuweka sawa mambo mengi hasa yale ya upotoshaji. Salaam Mwanakijiji lakini ukipokea chochote unaburuzwa. Salam Mwiba lakini Jazba zako zinakufanya ufikiri yasiyowezekana. Na wengine nisiwataja tutakwaana humu humu.
 
So karibu
Do not hate the GAME hate the players
Karibu Jamvini
 
Wewe bwana ulikuwepo sema umerudi upya kwa jina jingine,Pale ulipopoteza uelekeo wa kimaadili ukabadili jina lakini haiba yako ni ile ile.Iweje mgeni kuingia na kuanza kukwaana na wenyeji hata kabla ya kukaribishwa?Acha hizoo....MZEE.
 
Was he?
Nafikiri ata-behave sasa kama kweli!
 
Naitwa Hamid na naomba kujumuishwa katika jamii. Nategemea nitasaidi kuweka sawa mambo mengi hasa yale ya upotoshaji. Salaam Mwanakijiji lakini ukipokea chochote unaburuzwa. Salam Mwiba lakini Jazba zako zinakufanya ufikiri yasiyowezekana. Na wengine nisiwataja tutakwaana humu humu.

Karibu tena kwa jina jipya usiache wasiliana na Maxence Melo!
 
Sioni mantiki ya watu kujificha kwa kutumia majina tofauti na yao ni ujinga na woga usiokuwa na maana
 
Naitwa Hamid na naomba kujumuishwa katika jamii. Nategemea nitasaidi kuweka sawa mambo mengi hasa yale ya upotoshaji. Salaam Mwanakijiji lakini ukipokea chochote unaburuzwa. Salam Mwiba lakini Jazba zako zinakufanya ufikiri yasiyowezekana. Na wengine nisiwataja tutakwaana humu humu.

We mkali! Hata hujakaribishwa umeanza vijembe!!

Karibu JF!!!
 
Karibu sana mgeni.

Wewe bwana ulikuwepo sema umerudi upya kwa jina jingine,Pale ulipopoteza uelekeo wa kimaadili ukabadili jina lakini haiba yako ni ile ile.Iweje mgeni kuingia na kuanza kukwaana na wenyeji hata kabla ya kukaribishwa?Acha hizoo....MZEE.

Mkuu Kimatire, huenda jamaa ni mpya kweli, alikuwa anasoma posts wakati si mwanachama. Lakini pia yawezekana alikuwa mwenzetu, ama bado ni mwenzetu kwa a.k.a

Sioni mantiki ya watu kujificha kwa kutumia majina tofauti na yao ni ujinga na woga usiokuwa na maana

Mkuu Arnold, unaweza jua wangapi wanaficha majina yao na wangapi wanatumia majina sahihi?. Pia huoni kwamba ni kukosa uzalendo kuwaita wasiotumia majina yao kuwa ni "wajinga na waoga". Hapa hatuangalii majina, tunaangalia mchango wako wa mawazo.
 
Mkuu karibu ila umeingia na mkwara kiasi cha kutisha hata wenyeji. Wageni wengine lohh hata kwako nadhani familia ikikuona umeingia tu inatishika.
Usikute walishakuita jina la bandia la mtu yeyote katili kama Hitler au Idd Amin au Robert Mugabe:D.
Kwa mfano yuko jamaa alijulikana kama Hitler nyumbani ingawa yeye hakujua kwamba alishapewa jina hilo na wanawe. Kila alipofika nyumbani mdogo alianza kuwapa tahadhali wakubwa kwamba Hitler kafika na waliingia vunguni mwa kitanda.
 
Wewe bwana ulikuwepo sema umerudi upya kwa jina jingine,Pale ulipopoteza uelekeo wa kimaadili ukabadili jina lakini haiba yako ni ile ile.Iweje mgeni kuingia na kuanza kukwaana na wenyeji hata kabla ya kukaribishwa?Acha hizoo....MZEE.

Umekosea!
 
We mkali! Hata hujakaribishwa umeanza vijembe!!

Karibu JF!!!

Si hivyo lakini mambo ya wanachama kama hawa ndio yaliyotupelekea kujiunga na sio kama ya kina Max-nani sjui. Hawa wanabowa.
 
Mfumwa umeongea la busala sana manake huyu Anord anaonysha anawatambua wote kwamajina ndio maana anasema kuwa wanaficha majina namshauli atakapotaka kuchangia mada yoyote ile iweya kumkosoa mchangiaji basi amtaje jinalake lauficho
 
Huyu siye mgeni jamani na wala siyo msomaji.Mbona vijembe vyake viko wazi wazi tuu.Karibu bwana ukemee huo ukali unaoingia nao.Karibu utupe hoja kuliko kuanzisha vurumai zilizokutoa huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom