Emmathias
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 679
- 949
Habari wanajamvi, Tangu niijue JF sijawahi kujuta maana ni mahali ambapo huwa napata utatuzi wa changamoto zangu, kwahiyo naamini na Leo nitapata ushauri mzuri.
Naomba niende Moja kwa moja kwenye maada yangu, Mimi ni graduate ninayesubiri kupata ajira mnano mwezi wa kwanza nimepata nafasi ya kupanda mlima Kilimanjaro kama mpagazi.
Kupitia kazi hii nimepata wazo la kwamba, hivi nikifungua website yangu nikawa natangaza utalii specifically mlima Kilimanjaro na Serengeti kwa wageni waje nchini kwetu kujionea utalii.
Then wageni wakivutiwa na Mimi wakaja nchini, tayari ntakuwa nimeshaongea na kampuni yangu wakifika tu naenda kuwauzia kampuni yangu kwa pesa ambayo tutakubaliana nao.
Mfano kama kampuni yangu inachaji dollar 1,000 kwa mgeni 1 Mimi ntawachaji dollar 1200, then kampuni yangu baada ya kuwapelekea hao wageni tutakubaliana wanilipe dollar 50 - 150 kwa kila kichwa.
Kwahiyo nitajikuta napata faida kwa kampuni na kwa wageni pia.
Swali, Je wazo langu litafanikiwa?
Je ni kiasi kinagharimu kutengeneza website?
Je ni nani amefanya hii kazi akakumbana na changamoto zipi?
Natanguliza shukrani zangu kwenu the home of great thinkers!!!
Sent using Jamii Forums mobile app