Mambo ya kufanya kipindi ambacho una wazo la biashara lakini huna mtaji

Dec 17, 2022
73
43
Je, ulishawahi kuwa na wazo la kufanya biashara au kazi lakini hauna mtaji?

Pengine unahisi fedha ndio changamoto? Usijali, basi upo eneo salama.

Unaweza kujifunza mengi kupitia: Upendokitundu

Pengine wewe ni mwanafunzi au upo nyumbani, unawaza kufanya biashara au mradi ila umepungukiwa fedha.Unaona labda unaweza ukakopa maeneo mbalimbali kisha urudishe fedha hiyo. Swali la kujiuliza,vipi endapo ukapata hasara na fedha uliyokopa ukashindwa kuirejesha?

Ni moja kati ya mhanga wa jambo hilo. Unaweza ukachukiwa hata na watu wako wa karibu. Ili uepukane na visa hivyo,inabidi usome mambo ya kufanya kwenye blog yangu kwa namna yeyote na yafanyie kazi.

Lakini ushauri wa bure unapaswa kutulia. Baadhi ya mda huwa tunafeli kwenye mambo tunayoyafanya
ila suala la kutulia kwetu huwa gumu. Mwisho wa siku tunajikuta hatuna tulilolifanya,kisha baadaye tunajiona hatuwezi tena. Tulia na wazo lako,kisha kajifunze nini cha kufanya.

Ikifuatishwa na utambulisho wa kitabu kiitwacho KIPAJI KILETACHO MAFANIKIO, ambacho kitakupeleka na utaweza kufanya makubwa kupitia ujuzi ulionao.Nna uzoefu.
 
Hawa watu ifikie hatua JamiiForums waanze kuwachukulia hatua mi kwa ujinga alioandika hapa hata siwezi kutaka tena huduma yake wanaharibu jukwaa tu
NNi suala la kujifunza,Na kila jukwaa lina vitu vyake kama ilivyokwangu.Lakini samahani kwa mkanganyiko mlioupata ntashughulikia blog yangu ndani ya dakika chache mtaweza kusoma vizuri.
 
Hii huduma unaitoa kwa bei gan mkuu? Unafundisha kuanza biashara bila mtaji, at what cost?
 
Back
Top Bottom