Naomba ufafanuzi kuhusu hili wazo langu la biashara ya utalii

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
679
949
Habari wanajamvi, Tangu niijue JF sijawahi kujuta maana ni mahali ambapo huwa napata utatuzi wa changamoto zangu, kwahiyo naamini na Leo nitapata ushauri mzuri.

Naomba niende Moja kwa moja kwenye maada yangu, Mimi ni graduate ninayesubiri kupata ajira mnano mwezi wa kwanza nimepata nafasi ya kupanda mlima Kilimanjaro kama mpagazi.

Kupitia kazi hii nimepata wazo la kwamba, hivi nikifungua website yangu nikawa natangaza utalii specifically mlima Kilimanjaro na Serengeti kwa wageni waje nchini kwetu kujionea utalii.

Then wageni wakivutiwa na Mimi wakaja nchini, tayari ntakuwa nimeshaongea na kampuni yangu wakifika tu naenda kuwauzia kampuni yangu kwa pesa ambayo tutakubaliana nao.

Mfano kama kampuni yangu inachaji dollar 1,000 kwa mgeni 1 Mimi ntawachaji dollar 1200, then kampuni yangu baada ya kuwapelekea hao wageni tutakubaliana wanilipe dollar 50 - 150 kwa kila kichwa.

Kwahiyo nitajikuta napata faida kwa kampuni na kwa wageni pia.

Swali, Je wazo langu litafanikiwa?
Je ni kiasi kinagharimu kutengeneza website?
Je ni nani amefanya hii kazi akakumbana na changamoto zipi?

Natanguliza shukrani zangu kwenu the home of great thinkers!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazo zuri ila siyo jipya na halina msaada wowote kwa hao watalii.
Hapo hakuna tatizo unalotatua kwa hao wateja wako ( mostly watalii )

Unachofanya ni kutaka kuwaongezea mzigo wa gharama zisizokuwa na msingi.

Laiti kama wazo lako lingekuwa linapunguza gharama kwa watalii huku likileta urahisi na ubora wa huduma, ungekuwa Game Changer.
 
Mtoa mada wa kwanza kajibu kila kitu.find the way to mitigate the problem.

Japo hujafafanua,nimekuelewa kwa kiasi kwamba tatizo unalotaka kutatua ni kuwapa watalii urahisi wa kufika Tz.wazo zuri.biashara ni matangazo,they say.

Jamaa kasema watalii hawana tatizo,no.kuna issue ya power of advertisement...mtoa mada naona anajaribu kutumia adverts ku channel hao watalii.mfano nikivaa uhusika wa mtalii.kuna wakati nahitaji kufanya chaguzi sahihi kati ya options zilizipo mezani.nkakutana na website ya jamaa,nkahitaji huduma kutoka kwake..i think kwa kias kikubwa ntasaidiwa.Afterall kusema hawana shida sidhani.wao data nyingi wanatoa mtandaoni na ndicho mtoa mada anataka kulifanya.its not new idea,thou ts good.

Nitamuunga mkono mchangiaji wa kwanza,whats the problem you want to mitigate??
All in all,wazo la mtoa mada limejikita katika udalali thats all I see.
 
Hakuna haja ya kampuni, we fungua website nzuri, tangaza vivutio vya utalii ikiwepo huo mlima kilimanjaro, mtalii akikubaliana nawe unaenda kwenye tour company yoyote unamuuza unalipwa chako una act kama wakala wa tours companifs, wengi wanafanya hivi, gharama za website ni kama laki nne hivi.
 
Asante sana mkuu kwa mchango wako!!
hakuna haja ya kampuni, we fungua website nzuri, tangaza vivutio vya utalii ikiwepo huo mlima kilimanjaro, mtalii akikubaliana nawe unaenda kwenye tour company yoyote unamuuza unalipwa chako una act kama wakala wa tours companifs, wengi wanafanya hivi, gharama za website ni kama laki nne hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa challenge mkuu
Ni wazo zuri ila siyo jipya na halina msaada wowote kwa hao watalii.
Hapo hakuna tatizo unalotatua kwa hao wateja wako ( mostly watalii )

Unachofanya ni kutaka kuwaongezea mzigo wa gharama zisizokuwa na msingi.

Laiti kama wazo lako lingekuwa linapunguza gharama kwa watalii huku likileta urahisi na ubora wa huduma, ungekuwa Game Changer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri sana ingawa si idea mpya ukitia juhudi inawezekana.
Pia fanya hivi, andaa contents za kutosha kuhusu vivutio husika (Blogposts, pictures n.k). Na jifunze SEO sababu hata hizo kampuni unazotaka fanya biashara nao wana tovuti zao. Muhimu ni wewe kua the best katika tovuti yako na kua na subira.
 
Habari wanajamvi, Tangu niijue JF sijawahi kujuta maana ni mahali ambapo huwa napata utatuzi wa changamoto zangu, kwahiyo naamini na Leo nitapata ushauri mzuri.

Naomba niende Moja kwa moja kwenye maada yangu, Mimi ni graduate ninayesubiri kupata ajira mnano mwezi wa kwanza nimepata nafasi ya kupanda mlima Kilimanjaro kama mpagazi.

Kupitia kazi hii nimepata wazo la kwamba, hivi nikifungua website yangu nikawa natangaza utalii specifically mlima Kilimanjaro na Serengeti kwa wageni waje nchini kwetu kujionea utalii.

Then wageni wakivutiwa na Mimi wakaja nchini, tayari ntakuwa nimeshaongea na kampuni yangu wakifika tu naenda kuwauzia kampuni yangu kwa pesa ambayo tutakubaliana nao.

Mfano kama kampuni yangu inachaji dollar 1,000 kwa mgeni 1 Mimi ntawachaji dollar 1200, then kampuni yangu baada ya kuwapelekea hao wageni tutakubaliana wanilipe dollar 50 - 150 kwa kila kichwa.

Kwahiyo nitajikuta napata faida kwa kampuni na kwa wageni pia.

Swali, Je wazo langu litafanikiwa?
Je ni kiasi kinagharimu kutengeneza website?
Je ni nani amefanya hii kazi akakumbana na changamoto zipi?

Natanguliza shukrani zangu kwenu the home of great thinkers!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo lako sio jipya,Binafsi nafanya kazi na vijana wachapakazi wa kitanzania ambao wako na kampuni nyingine na wakati huo huo waka na kampuni zao za "mifukoni"
Kuna fursa katika eneo hilo ila pia kuna ushindani.

Mimi kama mimi katika kuwasaidia vijana hawa ambao wanafanya kazi za utalii huwa nawatengenezea website pamoja na kuwafanyia marketing kwa gharama nafuu,Kisha badala ya wao kuuza wateja wanakuwa wanauziana wateja.

Yani wanakuwa wanashea gharama na kuwaunganisha wateja wao.Hii inaitwa share trip ambapo Mgeni anajoin group la wageni wengine.Ni mfumo mzuri na naona jinsi unavowasaidi wageni- na unavowasaidia hawa vijana kuweza kumudu uendeshaji wa biashara zao.

Pia ni namna rahisi zaidi ya kuanzisha biashara.Iwapo ungependa kufahamu zaidi tafadhali tuma msg PM au Email.karibu sana.Sample za kazi zipo.
 
Asante sana mkuu, samahani SEO ndio nini mkuu.
Wazo zuri sana ingawa si idea mpya ukitia juhudi inawezekana.
Pia fanya hivi, andaa contents za kutosha kuhusu vivutio husika (Blogposts, pictures n.k). Na jifunze SEO sababu hata hizo kampuni unazotaka fanya biashara nao wana tovuti zao. Muhimu ni wewe kua the best katika tovuti yako na kua na subira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu, ngoja nije PM
Wazo lako sio jipya,Binafsi nafanya kazi na vijana wachapakazi wa kitanzania ambao wako na kampuni nyingine na wakati huo huo waka na kampuni zao za "mifukoni"
Kuna fursa katika eneo hilo ila pia kuna ushindani.Mimi kama mimi katika kuwasaidia vijana hawa ambao wanafanya kazi za utalii huwa nawatengenezea website pamoja na kuwafanyia marketing kwa gharama nafuu,Kisha badala ya wao kuuza wateja wanakuwa wanauziana wateja.Yani wanakuwa wanashea gharama na kuwaunganisha wateja wao.Hii inaitwa share trip ambapo Mgeni anajoin group la wageni wengine.Ni mfumo mzuri na naona jinsi unavowasaidi wageni- na unavowasaidia hawa vijana kuweza kumudu uendeshaji wa biashara zao.Pia ni namna rahisi zaidi ya kuanzisha biashara.Iwapo ungependa kufahamu zaidi tafadhali tuma msg PM au Email.karibu sana.Sample za kazi zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazo zuri ila siyo jipya na halina msaada wowote kwa hao watalii.
Hapo hakuna tatizo unalotatua kwa hao wateja wako ( mostly watalii )

Unachofanya ni kutaka kuwaongezea mzigo wa gharama zisizokuwa na msingi.

Laiti kama wazo lako lingekuwa linapunguza gharama kwa watalii huku likileta urahisi na ubora wa huduma, ungekuwa Game Changer.
We jamaa una akili nyingi sana sema naona km huzitendei haki sometimes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom