klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,143
hehehe dogo askushtue, atalembewa kibuti na bebii muda si mrefu. Wewe utamtongozaje bebii wakati avatar lenyewe bendera ya TZ, at least angeweka bendera ya Canada au shekoslovakia. Wee mtoto ana jina la kiingereza unakwenda kumtongoza kwa kiswahili, imekula kwake.niko kwenye kale ka mpango ka kumtwanga shetani na mawe....
halafu hyu dogo ananichanganyia habari....mi huku nilikuwa nashona nyavu za kumvulia huyu bebii halafu yeye anaenda pablik bana....ah! sichelewi kumgeuzia huyu dogo kibla!