Naomba uchumba na bebii wa hapa jf.....

niko kwenye kale ka mpango ka kumtwanga shetani na mawe....
halafu hyu dogo ananichanganyia habari....mi huku nilikuwa nashona nyavu za kumvulia huyu bebii halafu yeye anaenda pablik bana....ah! sichelewi kumgeuzia huyu dogo kibla!
hehehe dogo askushtue, atalembewa kibuti na bebii muda si mrefu. Wewe utamtongozaje bebii wakati avatar lenyewe bendera ya TZ, at least angeweka bendera ya Canada au shekoslovakia. Wee mtoto ana jina la kiingereza unakwenda kumtongoza kwa kiswahili, imekula kwake.
 
kwahiyo kama anakukubali ndio aanze yeye kukuPM akuapproach? Wanawake hatupendi hizo bana.

No!! Bwana mimi nataka kupima kina cha maji kwanza kabla sijaanza kuogelea,maana nisije nika-MP halafu nikaambulia matusi tu,japo kuna siku tuliongea nae kidogo akanipa moyo kwamba it is possible,nicheze nafasi yangu...
 
Hata mimi huyu mtoto ananikosha sana. Ila naogopa kibuti.
 
Hata mimi huyu mtoto ananikosha sana. Ila naogopa kibuti.

Mkuu kwa mara ya kwanza mawazo yetu yamekubaliana..maana kwenye jukwaa la siasa uwa unaongea mawazo majitaka kwelikweli...
 
....Naomba Bebii uni-PM tafadhali,naona unafaa kuwa mwenzi wangu wa maisha.
Too late jamani mi nina wiki kadhaa sasa nawasiliana na Bebii na tumefikia mbali sana na wengine hebu geukieni sehemu zingine hadi huku mnaweka ushindani,na nimemwambia bebii asijibu lolote na mwisho akupige kibuti na ukimbie humu jf au uende likizo
good Bebii we soma haya mawazo tu lakini usijibu lolote kama tulivyoongea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu wewe jidanganye wakati jana kani-PM mida kama ya saa mbili usiku hivi..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom