Naomba Tafsiri ya wimbo 'Muzina' ulioimbwa na Tabu Ley

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,454
975
Hi wana JF.
Naomba mtu yeyote mwenye tafsiri ya wimbo "muzina' ulioimbwa na Tabu Ley wa Congo (DRC).
Tafsiri hiyo inaweza kuwa kwenye form ya lyrics, etc.

Thanks in advance.
 
Mtu hawi na tafsiri. Mtu akutafsirie!!!

Kwa kifupi huo wimbo ni sala!
kwa jina la baba na mwana na roho mtakatifu.
 
Back
Top Bottom