Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 2,742
- 4,932
Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.
Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.
Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.