Asante sana mkuu,hii si uhakika? naogopa kuanza na cha mwishoKikomo
Kikosi cha Kisasi
Kufa na Kupona
Njama
Hofu.
Kikomo No 1&2Kikomo
Kikosi cha Kisasi
Kufa na Kupona
Njama
Hofu.
we jamaa umetoa wapi hivyo vitabu?Kikomo No 1&2
Sanda ya Jambazi
Mteko vanu Maputo
Sijaelwa swali lako, kwa maana havikuwahi kuwepo au? Basi ngoja nikuongezee Will Gamba, Njama na hujuma.we jamaa umetoa wapi hivyo vitabu?
Niliwahi sikia kwamba Kuna kitabu Cha huyu mwamba kilipigwa ban, kutokana na high contents za ujasusi. Sijui ni kweli, I stand to be corrected.Kikomo No 1&2
Sanda ya Jambazi
Mteko vanu Maputo
Mwandishi ni Edwin Semzaba nadhani kama sijachanganya. Mhusika Mkuu kwenye vitabu ni willy GambaHeshima kwenu.
Naomba kwa anayejua orodha yote ya riwaya za kipelelezi za Willy Gamba katika mtiririko wake kuanzia cha kwanza mpaka cha mwisho anitajie.
Nataka nianze kusoma ningependa kuanzia mwanzo.
Asanteni.
Mie nimeanza kununua njama.Kikomo
Kikosi cha Kisasi
Kufa na Kupona
Njama
Hofu.
una pdf mkuu?Mimi ninavyo 4 lakini sikumbuki majina yake Kwa usahihi. Kuna Kisasi, njama, kufa na kupona etc....
Pia ninavyo vya alf lela u leta vitabu Tisa! Zile hadithi ni noma. Utakutana na visa kama vile ndoto za Ali nacha na Alladin na taa ya ajabu!
Ni hard copy mkuuuna pdf mkuu?
Asante mkuuINGIA BLOG MOJA INAITWA buresiries alafu ingia sehemu imeandikwa WAANDISHI WA SIMULIZI kule hdithi unaipata yote ikiwekwa kwenye vipande vitano
Vitabu vyake unaanza na chochote tu,hadithi zinajitegemea.Asante sana mkuu,hii si uhakika? naogopa kuanza na cha mwisho
Ni kweli,lakini nilipenda kusoma mawazo ya mwandishi katika mtiririko wake aliokusudia.Vitabu vyake unaanza na chochote tu,hadithi zinajitegemea.
Kikosi cha kisasi aiseee bongeee moja la moviee we achaa tu.Kikomo
Kikosi cha Kisasi
Kufa na Kupona
Njama
Hofu.