0712-722684 all the best bt kuwa mvumilivu kwa majibu yao!!!Wakuu heshima mbele
kuna kadogo kangu, status bado inaonyesha not processed, siku chache zilizopita ilionyesha Admitted. Naomba namba ya TCU au mwenye ufahamu kuhusu nini inaweza kuwa tatizo anifahamishe.
Shukrani kwa atakayesaidia