Naomba namba ya Gavana Ndulu

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,483
40,002
Kuna haja ya kukata mzizi wa fitina; naomba mwenye namba ya Gavana Ndulu anipenyezee tafadhali. Ana maswali ya kujibu...
 
I wish I could have one ningekupa mwanakijiji, na mimi nasubiri kwa hamu sana kusikia toka kwake maana hili sakata la ile nyumba aliyojengewa bado linanitatiza sana na natamani sana kupata majibu yakinifu kwani yaliyotolewa hadi sasa hayajaniridhiza hata kidogo,naamini ukipata namba yake hilo litakuwa ni moja ya maswali yako..,wana JF mwenye namba ya Gavana Ndulu amsaidie Mwanakijiji tafadhali.
 
kuna baadhi ya viongozi wamejijengea tendency ya kutopokea no ngeni.....namaanisha namba ambazo haziko kwenye phonebook zao,hivyo unaweza ukaipata namba ya Ndulu halafu asipokee simu yako.Jaribu Kutafuta email adress yake atake asitake ukmtumia email ataisoma tu kama ni mtu ambaye huwa anasoma emails.
 
kuna baadhi ya viongozi wamejijengea tendency ya kutopokea no ngeni.....namaanisha namba ambazo haziko kwenye phonebook zao,hivyo unaweza ukaipata namba ya Ndulu halafu asipokee simu yako.Jaribu Kutafuta email adress yake atake asitake ukmtumia email ataisoma tu kama ni mtu ambaye huwa anasoma emails.
G S.
Naona hata e mail ya BOT wameficha nilikusudia kumtumia haya yanayojadiliwa hapa, lakini haipo kwenye ukurasa wao wa mawasiliano.
 
Hebu linganisha zile nyumba mbili na maendeleo ya pugu sekondari
eti maslahi ya taifa yalizingatiwa!!! Si kweli
hata kama sheria inasema hivyo, anastahili kujengewa nymba kama hiyo, ndulu kama mzalendo na mtaalamu wa maswala ya fedha alistahili kupunguza gharama kwa vigezo. Na tungemuona wa maana zaidi. Sasa tunamuona mlaji mwingine tu sawa na richmond na wanaofanania
 
Kwa mujibu wa yellow pages:
Governor.......+255 22 2233021
Deputy Governor (economic & financial policies)......+255 22 2233041
Deputy Governor (Financial Stability & deepening)....+255 22 2233045
Deputy Governor (Administration &Internal Contols)....+255 22 2233043

Kama zitakufaa mkuu.
 
Back
Top Bottom