Msaada kufunguliwa kwa namba yangu kutumia WhatsApp business

ezekeo

Member
Aug 27, 2022
58
155
Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business.

Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business.

Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business.

Ahsanteni

Polish_20240312_184346638.jpg
 
mm nafikiri kuna error kwenye whatsapp ase sio kawaida kitu kama hichi mm whatsapp ya pili wamebanned na sijafanya kosa
 
Back
Top Bottom