Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Kuna haja ya kukata mzizi wa fitina; naomba mwenye namba ya Gavana Ndulu anipenyezee tafadhali. Ana maswali ya kujibu...
G S.kuna baadhi ya viongozi wamejijengea tendency ya kutopokea no ngeni.....namaanisha namba ambazo haziko kwenye phonebook zao,hivyo unaweza ukaipata namba ya Ndulu halafu asipokee simu yako.Jaribu Kutafuta email adress yake atake asitake ukmtumia email ataisoma tu kama ni mtu ambaye huwa anasoma emails.
Kuna haja ya kukata mzizi wa fitina; naomba mwenye namba ya Gavana Ndulu anipenyezee tafadhali. Ana maswali ya kujibu...