Naomba mwenye wimbo wa "Mwaka wa Tabu" anitusaidie

Mkyamise

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
455
557
Habari za muda huu waungwana?

Naomba mwenye wimbo huo hapo juu anisaidie. Nadhani uliimbwa na Mchinga Sound kama sijakosea.

Nitashukuru sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom