Naomba muongozo wa CHADEMA

Asante maana hapa nilipo nishavua shati.
Naandaa makaburasha ya kujibu swali lako.Na wewe nakuomba umsaidie Sam kupata majibu.

Nasubiria kwa hamu kusoma jibu lako hapa! Kuhusu Sam sikujua kama amekuajiri ewe kuwa msemaji wake. Issue hapa kwa sasa ni kati yangu nawe na so far tunaelekea kuzuri - wewe kujibu swali la chama gani kiko tayari kuongoza Tanzania.
 
BTW,

kama unaogopa kujibu hapa, unaweza tu kunitumia kwenye PM kama chama unachodhani kuwa kinaweza kuongoza nchi kwa sasa ni chama cha mafisadi wa ccm.
 
Zitto vipi mzee? Nimepita kule endeleeni ku-edit labda mtanilizisha na maelezo yenu. Labda niulize maswali mepesi kidogo.
Katika sera yenu ya Demokrasia mmesema kuwa "Tutatoa fursa ya vyama vya siasa kujiimarisha" kama mkiingia madarakani. Ninavyotambua mimi CCM ni chama cha siasa pia, je mtatoa fursa kwa CCM kujiimarisha ili warudi tena madarakani baada ya hiyo miaka mitano? Simple....ehe
Dukuduku langu jingine ni kwenye sera ya biashara mmesema kwamba Tanzania itafanya mashauriano ya kibiashara na Umoja wa Ulaya (EPA) kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki kama sehemu ya COMESA. Good. Ninavyojua mimi umoja wa ulaya ni (EU). EPA ni Economic Partnership Agreements kati ya EU na African, Caribbean and Pacific (ACP) countries. Kwa hili sihitaji jibu mnaweza ku-edit tu tukamalizana. Labda tu kama mkiweza mnieleza kama EU inafanya majadiliano na chombo kama COMESA au ni kupotezeana muda.
Je, hamna sera zozote za sayansi na teknolojia, any research project coming up?
Baadaye nadhani tutarudi kwenye ombi langu la muongozo.
 
wewe mdada sijui mkaka kazi kwelikweli
hivi mtu akiwa na mawazo tofauti na upinzani tu basi keshakuwa fisadi?

hivi unataka kuniambia kwa sasa hivi kuna mtu ambaye hana mawazo ya kimapinduzi?mimi ninaamini maana ya mapinduzi ni kuwa mpinzani wa ccm kwa kila jambo maana inanuka na imeshindwa kuleta matumaini yoyote kwa watanzania,Raza kasema ccm kwa sasa hivi ni sawa na mtu anayejaribu kuficha mait ndani asijue baada ya muda harufu itamtoa nishai
 
CHADEMA porojo nyingi na hakuna mkakati wowote wa utekelezaji.

Kila wakati ikija hoja hapa ya sera za CHADEMA utaona viongozi wao wanakuja kutoa thanks tu na hawajibu maswali ambayo wanapaswa kuyajibu.Badala yake wanakuja mashabiki kurefer watu kwa Ilani, Ilani gani unayorefer wana JF wakati viongozi wa CHADEMA wamekaririwa humu wakisema kuwa plan ya kuanzisha majimbo ni plan 0, wanatarajia mijadala izae plan 1 halafu sera kamili itoke baadae! sasa Ilani gani mnayowaambia watu wakasome???

Huu mjadala ni mojawapo tu ya mifano ya jinsi CHADEMA walivyo na porojo.
Nimeandika hapa mara nyingi na naendelea kurudia kuwa mchango wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA katika kupiga vita ufisadi nchini unastahili kuheshimiwa na kupongezwa, ila CHADEMA kama chama hakiko tayari kuongoza taifa na sera yake kuu ya majimbo ni ndoto ya alinacha.
SASA ILI WAFANYE KWELI SI NI MPAKA WAPEWE NCHI NA WEWE KIBUNANGO,
 
hivi unataka kuniambia kwa sasa hivi kuna mtu ambaye hana mawazo ya kimapinduzi?mimi ninaamini maana ya mapinduzi ni kuwa mpinzani wa ccm kwa kila jambo maana inanuka na imeshindwa kuleta matumaini yoyote kwa watanzania,Raza kasema ccm kwa sasa hivi ni sawa na mtu anayejaribu kuficha mait ndani asijue baada ya muda harufu itamtoa nishai

mawazo ya kimageuzi sote tunayapenda na yanatakiwa yasambazwe kwa watanzania wote hasa kule vijijini ili waujue ukweli kuhusu viongozi wabovu ccm,haki zao kama raia wa tanzania na thamani ya kura zao.
Na hili ni jukumu letu sote.Lakini tatizo ni je,ukishamuelewesha huyo mwananchi kuwa ccm mbaya na ndiyo inayomfanya awe masikini utampa chama gani mbadala ambacho kitam convince kuwa hakitakuwa na viongozi tofauti na ccm na kumletea maendeleo katika huu utitiri wa vyama vya siasa tulivyo navyo vilivyojaa wanafiki,mamluki,vigeugeu,njaa,mikakati mibovu,utengano nk?
Ndiyo maana nawapiga dongo kuwa ni wababaishaji na waganga njaa sababu mimi binafsi bado sijamuona mpinzani makini tanzania kwa sasa ambaye anaweza kumshawishi mzee Matondo kule kijijini amchague yeye na asimchague Kikwete.
 
nipo radhi kwenda nccr mageuzi kwa mbatia kuliko chadema kwa mbowe !!

karibu sana upinzani kada... MUNGU anapenda watetezi wa wanyonge natumai nawe utaona hili. Karibu tuunganishe nguvu, nikileta za mzee wa kiraracha (TLP) na wewe ukaleta za Mbatia sioni cha kuzuia hiyo nguvu.
 
aliyekwambia mimi sikuwa upinzani nani ?? nikikwambia je nilikuwepo huko kabla yako utakubali ?? KadaMpinzani is da name baby !

nisichotaka ni huo upumbavu wa kusema kila kitu ni siasa hata pale pasipostahili ! mama mjamzito kafariki wewe unadandia na kusema ccm, wtf ? then nikikwambia ulichosema ni nonsense utasema mie fisadi ? by the way i like that name....
 
mhh.. kama mama mjazito akifariki kwa vile pesa zilizotakiwa kununua dawa zimewekwa kwenye benki ya uswiswi au zimetumika kulipa richmonduli, itpl, nk je nani alaumiwe, CUF? Kuna chama kinaongoza Tanzania na chama hicho ni ccm kwa sasa.
 
richmond pesa hizo zimetoka katika wizara ya nishati na madini, wizara ya nishati na madini ina connection gani na madawa/hospitali ?? Pesa zuile hazikutengwa kwa ajili ya dawa, zilitengwa kwa kitu kilichofanyiwa na hicho kitu ni richmond, au ulisikia mtu kafa kwa sababu alikosa umeme au madini (richmond+wizara ya nishati na madini connection)? - - - - anyway waliofanya ni mawaziri na hawakutumwa na ccm, walifanya wao kama wao na akili zao, hata kama lipumba angekuwa rais richmond still ingetokea iwapo mawaziri wangekuwa wale wale, so hiyo sio kuhusu ccm kama unavyodai !

akikosea mbowe wenu tuseme chadema wote hamfai ?? if so, basi chadema wote hamfai maana mbowe wenu ananuka sana kwa kashfa !

acha siasa mdebwedo hapa, fikiria kwanza !
 
richmond pesa hizo zimetoka katika wizara ya nishati na madini, wizara ya nishati na madini ina connection gani na madawa/hospitali ??

Pesa iliyotumika kwenye wizara ya nishati bila ulazima ingeweza kutumika kwenye wizara ya afya.

Pesa zuile hazikutengwa kwa ajili ya dawa, zilitengwa kwa kitu kilichofanyiwa na hicho kitu ni richmond, au ulisikia mtu kafa kwa sababu alikosa umeme au madini (richmond+wizara ya nishati na madini connection)? - - - -

Nimesikia maelfu ya watoto na wajawazito waliokufa kwa kukosa dawa hospitali (dawa ambayo thamani yake ni chini ya dola moja).

anyway waliofanya ni mawaziri na hawakutumwa na ccm, walifanya wao kama wao na akili zao, hata kama lipumba angekuwa rais richmond still ingetokea iwapo mawaziri wangekuwa wale wale, so hiyo sio kuhusu ccm kama unavyodai !

hawa mawaziri ni viongozi wa ccm - kumbuka kuwa chama ni watu na sera zao na sio majengo na bendera.

akikosea mbowe wenu tuseme chadema wote hamfai ?? if so, basi chadema wote hamfai maana mbowe wenu ananuka sana kwa kashfa !

Ukileta facts za makosa ya Mbowe (na sio udaku kama ambao unawekwa hapa day in day out) basi una kila sababu ya kusema kuwa chadema hawafai kwa kuwa na kiongozi ambaye hafai.

acha siasa mdebwedo hapa, fikiria kwanza !

Ukiamua kutumia names haijengi hoja yako zaidi ya kile ambacho ungesema bila names!
 
Pesa iliyotumika kwenye wizara ya nishati bila ulazima ingeweza kutumika kwenye wizara ya afya.

Nimesikia maelfu ya watoto na wajawazito waliokufa kwa kukosa dawa hospitali (dawa ambayo thamani yake ni chini ya dola moja).

hawa mawaziri ni viongozi wa ccm - kumbuka kuwa chama ni watu na sera zao na sio majengo na bendera.

Ukileta facts za makosa ya Mbowe (na sio udaku kama ambao unawekwa hapa day in day out) basi una kila sababu ya kusema kuwa chadema hawafai kwa kuwa na kiongozi ambaye hafai.

Ukiamua kutumia names haijengi hoja yako zaidi ya kile ambacho ungesema bila names!

M.A (Mdebwedo Analysis) !!
 
Sam nadhani utakuwa ushagundua kuwa mwongozo wa CHADEMA is no where to be found. Nakushauri uchangamkie vyama vingine tu.
 
Sam nadhani utakuwa ushagundua kuwa mwongozo wa CHADEMA is no where to be found. Nakushauri uchangamkie vyama vingine tu.

hiyo ni kweli mkuu na ndio maana nikasema maadamu tushaweka point na kueleweka kwamba chadema sio chama bali ni genge la wanaopeana madaraka kwa kurithishana, basi tuangalieni vyama vingine. Chadema bai bai !!
 
Sam nadhani utakuwa ushagundua kuwa mwongozo wa CHADEMA is no where to be found. Nakushauri uchangamkie vyama vingine tu.

mhh, wana chadema na mashabiki wao wamekimbia kujificha. naona ukumbi wote wana ccm. hoja hakuna na wakibanwa wanakimbia.
 
mhh, wana chadema na mashabiki wao wamekimbia kujificha. naona ukumbi wote wana ccm. hoja hakuna na wakibanwa wanakimbia.

nani kakwambia kuwa wapinzani wamekimbia. Mafisadi wa ccm hamna lolote la kusema zaidi ya kushambulia vyama vingine kwenye mambo yasiyo na hoja yoyote kwa hiyo mmeachiwa baraza muonyeshe pumba zenu.
 
hiyo ni kweli mkuu na ndio maana nikasema maadamu tushaweka point na kueleweka kwamba chadema sio chama bali ni genge la wanaopeana madaraka kwa kurithishana, basi tuangalieni vyama vingine. Chadema bai bai !!

kada wewe hufai kuwa mwana chadema, chadema haina watu wenye viroja kama wewe au kubwajinga, zemacorpolo, mapambano, mtarajiwa, na masaka.

Bakia huko huko ccm.
 
Back
Top Bottom