Naomba muongozo wa CHADEMA

Unaona jinsi tunavyoenda nje ya topic? Hiki ndio ninachojitahidi kuepuka.

just as expected... topic kwako hapa ni ipi?

Wewe umeleta wazo kuwa chadema hawako tayari kuongoza nchi na ukawekwa kiti moto kama kawaida ya JF ili useme kile unachodhani kuwa kiko tayari kuongoza nchi na umeishiwa pumzi.

Narudia tena kwa upole...

cccchhhhaaaammmmaaa uuuunnnnnaaacccchhhhoooooddddhhhhaaaannnnnniiii kkkkkkkuuuuuwwwwwaaaa kkkiiiikkkkoooo tttttaaaaaayyyyaaarrrrriiiii kuongoza nchi ya Tanzania ni kipi?
 
hoja hazijajibiwa naona watu wanajibizana
kiimarishwe chama makini kwa kupewa dhamana ya kushika usukani au la tutaipigia ccm mpaka utimilifu wa dahari
 
Unajua mtu ambaye sijaomba dhamana ya kuongoza nchi nikiwa na porojo ni tofauti sana na wale wanaoomba dhamana ya kuongoza nchi wakiwa na porojo. Hivyo basi usifananishe "porojo" zangu na za CHADEMA. Mimi najua kuwa sometimes huwa nina porojo na natambua kuwa sometimes porojo ni muhimu maishani, ila porojo katika mijadala ya msingi ya kuongoza nchi tusizikubali.
 
jibu swali mkulu mbona yengeyenge na longolongo kibao.... unahitaji maji ya kunywa?
 
Kwa kuwa lengo la kwanza la CHADEMA wakiingia madarakani ni kuitisha mkutano wa Katiba sasa na kwa matazamo wangu nadhani kama hilo ni lengo wa kwanza basi CHADEMA haina sera kwa sasa. Kwa nini nasema hivyo, kwa mfano wananchi wakikataa mfumo wa majimbo kwenye katiba ni kivipi CHADEMA itatekeleza mfumo huo na kwa vile CHADEMA inaamini kuwa huo mfumo utatuletea maendeleo ya haraka sasa ni kivipi itatuletea maendeleo bila mfumo huo? Navyojua mimi sera za vyama vinatokana na katiba iliyopo. Kwenye sera ya utawala CHADEMA wamesema watapunguza mikoa kuwa 10 sasa kama katiba itakayoundwa itasema rais/chama hakitakuwa na mamlaka ya kugawa mikoa, je CHADEMA itakumia udikteta kuunda mikoa 10? Naomba muongozo.

Hoja hiyo hapo ya kujadili...
 
Anzisha thread nitakujibu. Usipoanzisha basi mimi nitaanzisha muda ambao nilipanga kuanzisha. Thread hii amenzisha Sam akihitaji mwongozo wa CHADEMA.

Ukinipa maji nitashukuru.
 
jibu swali mkulu mbona yengeyenge na longolongo kibao.... unahitaji maji ya kunywa?

Anzisha thread nitakujibu. Usipoanzisha basi mimi nitaanzisha muda ambao nilipanga kuanzisha. Thread hii amenzisha Sam akihitaji mwongozo wa CHADEMA.

Ukinipa maji nitashukuru.
 
Anzisha thread nitakujibu. Usipoanzisha basi mimi nitaanzisha muda ambao nilipanga kuanzisha. Thread hii amenzisha Sam akihitaji mwongozo wa CHADEMA.

Ukinipa maji nitashukuru.

Anzisha thread maana wewe ndio unadai kuwa na hoja. Mimi nakubali kuwa Chadema, CUF, TLP na wengine wanafaa na wako tayari kuongoza nchi na ccm ni wezi na mafisadi na hawafai kuongoza nchi. Kama unapinga hili basi anzisha thread na uwe tayari kujibu maswali yatakayoulizwa.

kwa sasa swali langu bado nauliza, kama chadema haiko tayari, ni chama gani kiko tayari?
 
Kama nilivyosema thread hiyo nilishapanga kuianzisha, muda wake ukifika nitaitundika. Tuvute subira.

Je na yale majibu ya sera za CHADEMA je?
 
Jibu swali nililouliza na ukitaka kuanzisha thread utaendeleza huko. Narudia tena swali langu. Kama chadema hawako tayari kuongoza nchi, je ni chama gani kiko tayari?
 
MWK una kawaida ya kushabikia vitu bila kupima halafu vinakukaba koo then unajaribu kuvitapika unagundua kuwa havitapikiki!!!

Hii ndio ilikufanya umtetee Mbowe kwa nguvu zako zote na kauli yake kuwa Balali kauliwa na serikali, halafu wewe mwenyewe unakuja kusema huamini kuwa Balali amekufa! Unafanya tujiulize ulipokuwa unashabikia kuwa Mbowe anasema ukweli ulikuwa unatumia moyo au ubongo? Kwa hiyo mimi sitashangaa nikisoma unadenounce sera za majimbo, kwa sasa endeleo kuzishabikia kwa kutumia moyo mpaka pale utakapoanza kuushirikisha ubongo.

Jitihada zote unazofanya sasa hivi ni ili tubadilishe mjadala lakini fahamu kuwa kama mjadala utabadirika basi sio na mimi. Kwa mara ya mwisho narudia kuwa mjadala unaouingiza hapa unastahili thread yake ambayo nitaianzisha na wewe unaweza kuianzisha pia.

Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa sasa ni kwamba hauna majibu anayohitaji Sam na wana JF wengine, hivyo basi endelea na mijadala mingine. Huu waachie wenye majibu yaliyoombwa.Sio lazima kila thread iwe na jina lako.
 
enheee

Hii ndio ilikufanya umtetee Mbowe kwa nguvu zako zote na kauli yake kuwa Balali kauliwa na serikali, halafu wewe mwenyewe unakuja kusema huamini kuwa Balali amekufa!

Naona sasa wewe ndio unakaa kwenye topic.... hata hivyo nitakujibu wakati nikisubiria wewe unijibu. Kutetea statement ya Mbowe hakuhusiani na imani yangu kwenye kifo cha Ballali. Hapa nimemtetea hata Jasusi na wengine wote wanaosema kuwa Ballali amekufa. Hii hainifanyi mimi kubadili msimamo wangu katika hili.

Unafanya tujiulize ulipokuwa unashabikia kuwa Mbowe anasema ukweli ulikuwa unatumia moyo au ubongo? Kwa hiyo mimi sitashangaa nikisoma unadenounce sera za majimbo, kwa sasa endeleo kuzishabikia kwa kutumia moyo mpaka pale utakapoanza kuushirikisha ubongo.

Inaonekana wewe ni sheikh mpya mwenye nguvu za kuona kupitia computer na kujua kama natumia moyo au ubongo. Katika hili, imani yangu haigeuzi uamuzi wangu wa kutetea sera ya chadema.

Jitihada zote unazofanya sasa hivi ni ili tubadilishe mjadala lakini fahamu kuwa kama mjadala utabadirika basi sio na mimi. Kwa mara ya mwisho narudia kuwa mjadala unaouingiza hapa unastahili thread yake ambayo nitaianzisha na wewe unaweza kuianzisha pia.

So far, mimi nakuona kama wewe ndio unataka kubadili mjadala. Wewe umedai kuwa Chadema haifai kuogoza na mimi nikakuuliza kuwa kama chadema hawafai kuongoza, je nani anafaa kuongoza ukaishiwa pumzi. Mbona unataka kujishusha kuliko hadhi yako. JIbu swali nililouliza, ni swali rahisi sana.

Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa sasa ni kwamba hauna majibu anayohitaji Sam na wana JF wengine, hivyo basi endelea na mijadala mingine. Huu waachie wenye majibu yaliyoombwa.Sio lazima kila thread iwe na jina lako.

Katika hili mkuu utaliona jina langu hapa hadi ukimbie. Mimi nachangia asilimia tano tu ya thread zote zinazoanzishwa hapa JF. Bahati mbaya this is one of them so labda wewe ndio itabidi uende kwenye hizo 95% ambazo hazina jina langu.
 
Kama leo ni siku ya mtihani na ili kufaulu ni lazima nijibu swali lako basi hesabu kuwa nimefeli mpaka wakati wa supplimentary exam ndio nitatoa jibu. Au utanidisco kwa hilo?

Kama hutaki kuuacha mjadala unayo haki ya kuendelea ila ukimbinyia Sam kupata jibu la swali lake unakuwa hujamtendea haki.
 
Basi usianze kulia bure.... swali liko open hapa hapa mpaka kesho na keshokutwa na siku ile utakuwa tayari kujibu ila kila mara ukitokeza hapa na statement zako utalikuta likikusubiri.

Kama hutaki kuuacha mjadala unayo haki ya kuendelea ila ukimbinyia Sam kupata jibu la swali lake unakuwa hujamtendea haki.

Kama ulitegemea mimi kuacha huu mjadala basi umepotea ndugu yangu. Hoja kama zako lazima zikutane na hoja zingine halafu ijulikane nani anatoa porojo hapa JF.

Narudia tena swali langu. kama chadema hawako tayari kuongoza nchi, ni nani yuko tayari?
 
CHADEMA porojo nyingi na hakuna mkakati wowote wa utekelezaji.

Kila wakati ikija hoja hapa ya sera za CHADEMA utaona viongozi wao wanakuja kutoa thanks tu na hawajibu maswali ambayo wanapaswa kuyajibu.Badala yake wanakuja mashabiki kurefer watu kwa Ilani, Ilani gani unayorefer wana JF wakati viongozi wa CHADEMA wamekaririwa humu wakisema kuwa plan ya kuanzisha majimbo ni plan 0, wanatarajia mijadala izae plan 1 halafu sera kamili itoke baadae! sasa Ilani gani mnayowaambia watu wakasome???

Huu mjadala ni mojawapo tu ya mifano ya jinsi CHADEMA walivyo na porojo.
Nimeandika hapa mara nyingi na naendelea kurudia kuwa mchango wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA katika kupiga vita ufisadi nchini unastahili kuheshimiwa na kupongezwa, ila CHADEMA kama chama hakiko tayari kuongoza taifa na sera yake kuu ya majimbo ni ndoto ya alinacha.

wanatumia propaganda !
 
hoja hazijajibiwa naona watu wanajibizana
kiimarishwe chama makini kwa kupewa dhamana ya kushika usukani au la tutaipigia ccm mpaka utimilifu wa dahari

kamwe hawatojibu hoja bali kujifungafunga na kupaka vyama vingine ndio base ya maneno yao, hawana hoja muhimu zaidi ya kupaka ccm !
 
Chadema na upinzani ni mwiba kwa CCM na inafurahisha kuwa inawachoma ccm nkumoyo hadi wanaumia na kulialia hapa. Ninapenda sana kuwa part ya movement ambayo inawapa wezi na mafisadi wa ccm hell and a big run for their dirt money.

Long live Chadema, CUF, TLP, DP, NCCR and wapinzani wote Tanzania.
 
MWK una kawaida ya kushabikia vitu bila kupima halafu vinakukaba koo then unajaribu kuvitapika unagundua kuwa havitapikiki!!!

Hii ndio ilikufanya umtetee Mbowe kwa nguvu zako zote na kauli yake kuwa Balali kauliwa na serikali, halafu wewe mwenyewe unakuja kusema huamini kuwa Balali amekufa! Unafanya tujiulize ulipokuwa unashabikia kuwa Mbowe anasema ukweli ulikuwa unatumia moyo au ubongo? Kwa hiyo mimi sitashangaa nikisoma unadenounce sera za majimbo, kwa sasa endeleo kuzishabikia kwa kutumia moyo mpaka pale utakapoanza kuushirikisha ubongo.

Jitihada zote unazofanya sasa hivi ni ili tubadilishe mjadala lakini fahamu kuwa kama mjadala utabadirika basi sio na mimi. Kwa mara ya mwisho narudia kuwa mjadala unaouingiza hapa unastahili thread yake ambayo nitaianzisha na wewe unaweza kuianzisha pia.

Kitu ambacho nina uhakika nacho kwa sasa ni kwamba hauna majibu anayohitaji Sam na wana JF wengine, hivyo basi endelea na mijadala mingine. Huu waachie wenye majibu yaliyoombwa.Sio lazima kila thread iwe na jina lako.

safi sana !!
 
Back
Top Bottom