Naomba msaada

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Nina kijana wa ndugu yangu wazazi wake wote walifariki. sasa amefaulu kuingia form one shule za kata kijijini. nilitaka kumsaidia apate shule ya boarding ya serikali ili aweze kusoma vizuri. naomba msaada procedure za uhamisho in kuwaje? Au naomba kama kuna mtu anajua shule yoyote ya boarding ya bei nafuu .

Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
kweli ulizia wizara ya elimu, na pia inategeemea upo wapi as matumizi na nauli uwe mwangalifu

ila usijali kama ukikosa mwaka wa kwanza bado ataweza ama kwenda form two
 
tafuta shule,ukipata omba barua ya uhakikisho wa nafasi na ya uhamisho, peleka wizarani wataidhinsha huo uhamisho na hapo utakuwa umemaliza lakini uwe mvumilivu wa njoo kesho njoo kesho ila ndani ya mwezi mambo yatakuwa safi bila hongo,bei ya boarding za sekondari hazijapanda bado ni TZS 70 ELFU,ila kwa private nyingi ni TZS 750+ELFU
 
Back
Top Bottom