Naomba msaada ya kupata visa Tanzania

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nimetuma maombi yangu online ya kupata visa Tanzania kwasasa ni takribani siku 30 lakini mpaka sasa sijapata majibu kuwa visa yangu imekataliwa au kukubaliwa.

Na kawaida wanamtumia mtu message kama wamekubali au wamekataa.

Au wanamwambia mtu amekosea kujaza.

Akajaze upya tena.

Mimi sijapata jibu lolote lile.

Kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza kuniunganisha na watu ambao wanafanya kazi pale immigration anisaidie maana mwaka juzi tu niliteseka tena ivi ivi kupata visa tena ya kuingia Tanzania
 
Bugurini tu pale dk 20 una visa mkuu
 
Social Media Banner.jpg

From Passport to Visa applications & appointments, Contact us!

Tunapatikana:
Jengo la “White Beach Park”, Tanki Bovu,
Mbezi Beach, Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom