Naomba msaada wa namna ya kurudisha picha zangu zina virus

ehee kumbe

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
267
155
Habari wana jf wenzangu
nina kamera yangu ya picha ya digital inatumia memory card kama ya simu kuhifazia picha.juzi nimeenda studio picha zilikuwa zinaonekana lakini tulipoweka memory card hiyo kwenye computer zile picha hazionekani zimefunikwa na kitu cheusi.studio wakaniambia hao ni virus na haiwezekaniki kuwa scan kwa ant-virus za kawaida mpaka uwe na program ya photo recover.naomba msaada wa kupata fee photo recover.ili nirudishe picha zangu
 
download free recovery kisha run ulicove picha zako
nime google free download photo recover.zikaja nyingi tu ila kila ninayo itumia kurecover picha hatua ya mwisho kabisa ya kurecover picha zinataka passward pia ulipie.naomba msaada kwa anaefahamu iliyo simple isiyohitaji passward wa kulipia.msaada jamani naomba
 
Back
Top Bottom