Naomba msaada wa mawazo, mchumba wangu kafumaniwa na wazazi wake kwa jamaa!

Mtu unaanzisha thread ili mradi tu,

Huweki details za kutosha,unaenda zako ukute umeshauriwa???:frusty::frusty:

Tafuta msichana mwingine,ila hao wazazi ni noma,labda walikuwa hawakutaki,si kawaida kwa wazazi kuimba makosa ya watoto wao bali huwaonya na kuwaombea kwa Mungu.
 
Anaagana na mpenzi wake kabla hajaanza maisha na wewe!huenda pia na wewe usimuoe.kuna watu wanaagana leo jmosi ana harusi anaoa au kuolewa na mtu mwingine
 
Pole sana ila unatuchanganya, huo siyo uchumba bali udoezi tu. Yawezekana mwenzio alikuwa an pre-test fifaa mbalimbali kabla hajaamua yupi akajitambulishe kwao. Eti! una mpango wa kuoa wakati wa kiangazi, kwani hiyo harusi mnafanyia uwanjani kuogopa kunyeshewa, au mashambani mazao yakishavunwa? Hayo ndiyo madhara yake mwenzio kawahi yawezekana alijua kuna mdoezi mwenzie.
Usimuache huyo dada, mbona wengi tu wanaoa wanawake used!!! Hata wewe ni used ila hujafumaniwa tu, hahahahahahahahahaaaa
 
Kwanza anza na kusema kwamba mlikuwa mnajisevia kwa miaka 2 na sio uchumba, na inaonyesha baada ya hiyo miaka 2 kiwango chako kimeshuka so ameamua kutafuta mtoa huduma mwingine, miaka 2 kwao hawakujui! kwanini ulikuwa unajificha ficha ona mwenzio alivyoshapu hadi wazazi wake wameshamjua kabla yako. Na inaelekea hiyo stori ya kufumaniwa ulikuwa unapewa kama 3rd pati na sio muhusika kwa jinsi ulivyokuwa unafichaficha...!!! Sijui nikupe pole au nikupotezee?
 
Back
Top Bottom