Naomba msaada wa mawazo, mchumba wangu kafumaniwa na wazazi wake kwa jamaa!

kituro

Senior Member
Dec 25, 2010
176
15
mie nilikuwa kwenye uchumba ambao umedumu kwa muda wa miaka 2, tulikuwa na plani kiangazi che mwaka huu tungefunga ndoa. ikiwa kafumaniwa na wazazi wake mwenyewe, je mimi nifanye nii?. na sijajitambulisha kwao!
 
tatzo lipo wap kwan wewe nafsi yako inasemaje kama bado unampenda chukuwa mzgo huo ukaish nae kwan kufumaniwa nini bana ila kama nafsi yako hailip piga chn tafuta mwngne na kama ukiona vp jalibu kuongea nae alafu msikilize na mpe na yeye muda wa kutafakar ni nan anaempenda kat yako na huyo alie fumaniwa nae unaweza ukajikuta alikuwa akufag wala nini so mchunguze kwanza kaka na pole sana mzaz
 
habari yako inachanganya.... kama nimekuelewa, kosa amefanya yeye ambae amefumaniwa na wazazi wake... kwahiyo uamuzi unao wewe kama unataka kuoa au la... ingekuwa wewe ndo umefumaniwa basi choice ingekuwa yake.
 
Kituko hueleweki umesema uchumba wa miaka 2 na hujulikani KWAO! kafumaniwa na wazazi ? wazazi hawafumanii wanammbamba unaweza kumfumania mkeo/mumeo tu.Muoane kiangazi kweni unaishi kijiji gani ? watu si wanaoana baada ya mavuno ?
 
Kituro sijakuelewa kabisa kama unaweza nieleze vizuri nipo kwaajili yako hapa
 
Mkubwa huo mtego, lakini shukuru Mwenyezi Mungu kakuonesha mapema tabia ya mtu uliyetaka kuwa nae.... sasa uamuzi ni wako kusuka au kunyoa!!!! Lakini ingekuwa vizuri kama tungejua na yeye mwenyewe anasemaje!!!! :A S 39:
 
mie nilikuwa kwenye uchumba ambao umedumu kwa muda wa miaka 2, tulikuwa na plani kiangazi che mwaka huu tungefunga ndoa. ikiwa kafumaniwa na wazazi wake mwenyewe, je mimi nifanye nii?. na sijajitambulisha kwao!

Wamemfumania na nani wakati wewe haujulikani kwao? Pnegine wewe ndio utakae fumaniwa nae manake kwao haujulikani...! Uchumba wa miaka 2 ukoje? Ni uchumba gani huo ambao haujulikani kwao?

Wa kulaumiwa sio huyo dada ni wewe manake wewe ndio utafanya afumaniwe manake unakula uroda wakati bado haujajitambulisha :frusty:
 
Uchumba sugu ndio faida yake.
Wamemfumania na nani wakati wewe haujulikani kwao? Pnegine wewe ndio utakae fumaniwa nae manake kwao haujulikani...! Uchumba wa miaka 2 ukoje? Ni uchumba gani huo ambao haujulikani kwao?

Wa kulaumiwa sio huyo dada ni wewe manake wewe ndio utafanya afumaniwe manake unakula uroda wakati bado haujajitambulisha :frusty:
 
Kituko hueleweki umesema uchumba wa miaka 2 na hujulikani KWAO! kafumaniwa na wazazi ? wazazi hawafumanii wanammbamba unaweza kumfumania mkeo/mumeo tu.Muoane kiangazi kweni unaishi kijiji gani ? watu si wanaoana baada ya mavuno ?

mimi pia simuelewi.
Hao wazazi walivyomfumania wakaenda kumwambia au! Wamemwambiaje wakati yeye hajajitambulisha ukweni.
Mambo mengine bwana...
 
Jamaa halafu yupo kimya hawa ni wale wale wa Hit and run.
Mzima wewe Husninyo hbr za Mpwapwa.
mimi pia simuelewi.
Hao wazazi walivyomfumania wakaenda kumwambia au! Wamemwambiaje wakati yeye hajajitambulisha ukweni.
Mambo mengine bwana...
 
Kuna uhalali gani wa kutuambia wana JF kuwa una mchumba kwa miaka 2, wakati hujajitambulisha kwao?????? Is that uchumba??? nani anaufahamu????..... Jamani ebu achane story za alinacha kwa watu ambao tuna mambo mengi ya kufikiria kwa ajili ya nchi yetu...............
 
mie nilikuwa kwenye uchumba ambao umedumu kwa muda wa miaka 2, tulikuwa na plani kiangazi che mwaka huu tungefunga ndoa. ikiwa kafumaniwa na wazazi wake mwenyewe, je mimi nifanye nii?. na sijajitambulisha kwao!

Samahani lakini posts kama hizi ndizo zinaharibu hili jamvi. Post haina kichwa wala mguu. Hakuna maelezo ya kutosha. Na hayo machache yenyewe yanajichanganya. Uchumba wa miaka 2 halafu hujajitambulisha kwao? Sasa huo ni uchumba gani? Halafu mchumba mwenyewe kafumaniwa na na wazazi wake? Ina maana alikuwa anatembea na wazazi wake ndio akafumaniwa? Hata kama kiswahili ni kigumu, umejuaje kuwa "kafumaliwa na wazazi wake mwenyewe" kama bado ulikuwa hujajitambulisha? Halafu unataka ushauriwe ufanye nini? Sasa hapo kwa kweli utashauriwaje?
 
Kituko hueleweki umesema uchumba wa miaka 2 na hujulikani KWAO! kafumaniwa na wazazi ? wazazi hawafumanii wanammbamba unaweza kumfumania mkeo/mumeo tu.Muoane kiangazi kweni unaishi kijiji gani ? watu si wanaoana baada ya mavuno ?

Wakati wa mavuno! LOL!!!
 
Huo uchumba unaosema wewe ni kwamba mmeambiana wenyewe wawili na haufahamiki kwa wengine. UCHUMBA RASMI ni lazima ukajitambulishe kwa wazazi wake na wakutambue na ndipo ulipie MAHALI.

Kitendo cha wewe kutojitambulisha kwa wazazi na huku mmepanga Kuoana siku zijazo ni kosa. Kwa hiyo hapo ndugu yangu kama umepanga kuoa nenda kwa wazazi wa mwenzako utambulike rasmi.

Kwa miaka 2 ya mahusiano yenu bila ya kujitambulisha kwao, mwenzako naona hana imani na wewe ndiyo maana anafanya mahusiano na mwingine ili ajaribu bahati yake ya kutaka kufunga NDOA.
 
Mimi umenichanganya kafumaniwa na nani sasa na wewe hujulikani kwao???? Hebu rekebisha then will come back
 
mlikuwaje wachumba wakati kwao hujajitambulisha?au kujuana na baadhi ya watu kama dada,kaka,etc ndo kigezo cha kuitana wachumba?uchumba gani wa 2yrs huo?umejuaje kafumaniwa?unapoomba ushauri ni vizuri kutambua kwanza watu unaowaomba hawakuui na hawajui story ya behin the scene!Mtu kesha fumaniwa ww unataka nn tena?au na ww ni kina tomaso?
 
mimi pia simuelewi.
Hao wazazi walivyomfumania wakaenda kumwambia au! Wamemwambiaje wakati yeye hajajitambulisha ukweni.
Mambo mengine bwana...
kama ulikuwa kwenye kichwa yangu Husninyo inaelekea damu zetu ni group moja
 
Back
Top Bottom