Naomba msaada wa majina ya viwanda hivyi..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,401
Naomba msaada wa majina ya hivi viwanda kwa Kenya na Tanzania nakama unamawasiliano yao ya email au website zao utakuwa umenisaidia zaidi nataka kujaribu kufanya biashara ya madawa kutoka nje ya kutengeneza bidhaa zao
-shampoo
-dishwashing
-bodycare
-laundry
-detergent

ASANTE
 
Unataka kunakili (counterfeit)?
Unge-google nahisi utapata some. Weka jina la industry na uweke tanzania.
Lakini google 'business directory, tanzania' pia unaweza kupata pa kuanzia.
 
mkuu shida nataka kupata majina ya hivyo viwanda vinavyodhalisha hizo bidhaa kwa Tanzania na Kenya.

Tabu ninayoipta ni kuwa siko Tanzania kwa 5 yrs,kwa hiyo sina idea yoyote ile.
 
Back
Top Bottom