Naomba msaada wa kuelekezwa ofisi za Save the children TZ

Mwana UoA

Member
Nov 8, 2011
47
6
Wana JF nawasalimu tena poleni na harakati za kuijanga nchi yetu ijapokuwa mafisadi wanaibomoa. Baada ya hayo naomba msaada wa location ya ofisi za Save the children Tanzania nisaidieni
 
panda magari yanayotoka buguruni kwenda kawe then shuka kwa mwalimu nyerere(mungu ailaze roho yake mahali pema peponi) rudi nyuma atua kadhaa utaona kibao kinaonyesha Ifakara Health Institute na kadhalika utafuata uelekeo huo wa ifakara, b4 ifakara utaona hiyo
 
shuka kituo cha shule ya fedha.omba msaada.kama unatoka moroco kuelekea kawe. mia
 
panda magari yanayotoka buguruni kwenda kawe then shuka kwa mwalimu nyerere(mungu ailaze roho yake mahali pema peponi) rudi nyuma atua kadhaa utaona kibao kinaonyesha Ifakara Health Institute na kadhalika utafuata uelekeo huo wa ifakara, b4 ifakara utaona hiyo
Ahsanteni sana wana JF kwa msaada wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom