sunshine1
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 539
- 289
Nina ndugu yangu aliolewa zaidi ya miaka 20 iliyopita. Mume hakuwa na hata senti pindi wanaoana. mwanamke alianza biashara ya mtumba ndipo wakapata mtaji mwanaume akaanzisha biashara sitaitaja ila ni yahalali Baada ya muda mfupi mambo yaliwanyookea ndipo mume akaanza visa na dharau kwa mkewe. Siwezi kueleza kila kitu hapa ila kwakifupi huyu ndugu yangu (mwanamke) maisha yake yote ya ndoa ni kipigo tu na dharau toka kwa mume. Kesi zake zimekuwa zikimalizwa kifamilia. Ila kwa hali ilipofikia tunaona hapana enough is enough! Tunaomba mtushauri pakuanzia ili hii ndoa ivunjwe na wagawane mali ili kila mtu aendelee na maisha yake. Bado tunampenda huyu ndugu yetu. Amekuwa anapigwa hadi anashonwa nyuzi za usoni na mwilini. Please help and God wil bless you!
Ndoa ni yakikristo na wana watoto watatu. First born ana around 18 years!
Ndoa ni yakikristo na wana watoto watatu. First born ana around 18 years!