Naomba msaada nimelalia chandarua mpya ya bush baada ya muda nimeanza kuota upele.

Jun 2, 2012
48
6
Naomba msaada wana janv mimi nimetumia chndarua baada ya siku naona naota vipele sehemu mbali mbali za mwili hasa mkono mmoja ambao nilikuwa nimeuweka kwenye chandarua kwa sababu nilikuwa sikichomeki kitanda kikubwa na upele kama hauna husaa mwingi.
 
Allergic reaction na dawa probably, ukiacha kutumia/kugusa itapita kwa mengine mwone doctor au pharmacist akupe cream ya kukupoza.
 
Naomba msaada wana janv mimi nimetumia chndarua baada ya siku naona naota vipele sehemu mbali mbali za mwili hasa mkono mmoja ambao nilikuwa nimeuweka kwenye chandarua kwa sababu nilikuwa sikichomeki kitanda kikubwa na upele kama hauna husaa mwingi.

Hapana sikuifua mkuu. Yani naona upele unaongezeka sijui nifanyeje mpaka leo nimeamua kutoitumia leo.
 
Mkuu dawa hapo ni kuiloweka hiyo chandarua kwa sabuni ya unga kwa siku 3 ili kupunguza ukali wa dawa.hata mimi ilikuwa hivyo.
 
Mkuu dawa hapo ni kuiloweka hiyo chandarua kwa sabuni ya unga kwa siku 3 ili kupunguza ukali wa dawa.hata mimi ilikuwa hivyo.

Asante mkuu ila nimeamua kutoitumia tena! Maana imenichafua kwel mikonon na sehemu nyingine na vipele haviwashi sana cjui kwanini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom