Naomba msaada kwenu wanawake wa humu jamvini

Ndoa miaka 26 alafu unauliza hiki kitu kweli? Hiyo miaka 26 yote hujaexperience challenges zozote ndani ya kitu kinachoitwa ndoa?
Kiufupi ulivyouliza ni kama vile una wiki tangia uoe.. Tulieni na wake zenu
Na kwenye ndoa miaka 26 huyo mwanamke hana hata muda wa kugombana na wewe tu, sijui umetoka kugonga nje sijui blaah blaah gani.
 
kweli alienda washroom alivyorudi ndy ikawa balaa maana mwanzoni nilipomaliza akaniambia mume wangu hili unalokojoa hapa kama sio la tatu basi la nneniliogopa sana maana kweli jioni hiyo nilitoka kumpa mtu goli mbili nzito aisee sitarudia maana wife japokuwa mtu mzima Ila aliumia sana mpaka leo niko safarini analalamika tu kuwa huku niko huru .....
Hilo bao ulikojolea nje au ndani?
 
Back
Top Bottom