Davis chelsea
Member
- Jul 28, 2011
- 93
- 10
Kati ya BACHELOR Of SCIENCE IN MOLECULAR BIOLOGY AND BIOTECHNOLOGY NA BACHELOR OF SCIENCE IN MICROBIOLOGY NI IPI NZURI?
Inategemea unaishi wapi na unataka kufanya nini na either of the two. Ungekuwa unaishi nchi kama US ningekushauri usome Molecular Biology and Biotech sababu there's a great demand ya watu wa fani hiyo na wanalipa vizuri. Sijajua kwa bongo tuko vipiKati ya BACHELOR Of SCIENCE IN MOLECULAR BIOLOGY AND BIOTECHNOLOGY NA BACHELOR OF SCIENCE IN MICROBIOLOGY NI IPI NZURI?

Zote nzuri. Au unamaanisha uzuri upi?

Kaka kwa bongo hata usome course yenye demand kubwa kama huna channel utasota tuuuu,cha msingi ni channel tu hata ukisoma certificate ya nursery unaweza ukapata kazi serikalini tena ya fedha nyingi tuuuuu....Tatizo sio kozi je una-channel?
Kati ya BACHELOR Of SCIENCE IN MOLECULAR BIOLOGY AND BIOTECHNOLOGY NA BACHELOR OF SCIENCE IN MICROBIOLOGY NI IPI NZURI?
. . . Kwanza kabisa its all about you!! Your dream and what you love in your herat ..etc!

. . . Sasa kwa sababu mambo ya dream ..love n heart etc ... yanapitwa na SWALA LA RIZKI KWANZA ...!

. . . Kwa vyote vile Bsc n Molecular Bios & BioTech ...ina anfasi ya Kazi ..Bongo au nje ya bongo..

Infact : Kazi Nyingi za mtu wa Bsc n Microbilogy ... zinaweza kufanywa na mtu aliye na hiyo nyingine...

... Sasa changamkia kit nataka niunganishe digree ya pili ili kuwe na uraisi wa ajira
kama una interest ya utafiti zaidi, hiyo biotech ni nzuri. kwa sababu ni fani inayochipukia huku kwetu,so competition ni ndogo sana. microbiology kuna watu wana certificate hadi phd. so hata nafasi za kusoma ni kazi. jilipue na hiyo biotech uje usaidie wadau hapa,wamechakachuliwa watoto hadi wamekoma,lol