Naomba msaada jinsi ya ku update Samsung Galaxy Duos GT-S6102

makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
39
Hi JF,

Natumia simu aina ya SAMSUNG GALAXY DUOS GT-S6102, kwasasa iko slow sana katika kopakia (loading) na mara nyingi kuna ujumbe unanionesha ni up-date simu yangu.

Naomba msaada nifanyaje kuiupdate?

Ahsante
 
Uki restor factory utapoteza kila kitu. Kuanzia Contacts, files, downloaded applications and such.
 
pia pampja na ushauri ulio pita itakua bora zaid ukwa unaupdate kwa kutumia wireless internet itakua faster zaid kuliko kutumia data bundle simu hiyo hiyo tafuta simu nyingine ya inayo suport portable wifi hortspot then washa wireless kisha anza ku update itamaliza faster na data zako zote ztakua safe
 
hyo alert ya ku-update inatokea sio lazima u-update sababu update inategemeana na vendor ilabda uweke custom rom ndio njia ya kuupdate
 
Kwa mara nyingine hii simu hua inaniletea maneno kama
"USER FAULT NOT KERNEL PANIC UPLOAD MODE"

na mengine ni

CP CRASH UPLOAD MODE

Sijajua ni nini nikifanye kwani inapotokea hivo simu inaacha kufuction yaani inaganda tu,vyivyote ufanyavyo hairespond.....

Naombeni msaada nilitatue tatizo wapendwa
 
Back
Top Bottom