VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
naona kama kuna post uliweka halaf umeiondoa...ilikuwa inasema kuhusu kuwa hiyo discharge ni cleaning of the vagina.. hii inawezekana kwa mjamzito?maana wale walikuwa ni kama ndio wameanza kupata hedhi.
Ndio maana niliondoa sababu hapa ilikuwa haiusiki lakini usipanick hii itakuwa normal lakini this issues sio ya kuichukulia kwa juu juu tu muone daktari mwingine na mfate ushauri wake..... pia hakikisha na mama unampa moyo sababu stress na kupanick sio bora kwa wakati huu mwambie kwamba hii ni issue simple na ya kawaida ila apumzike.....