bora uache huo ukapela lakini ni nini mana yake... ???
noo i think its short and clear,,,shukran,,,,na inshallah umpate kweli umridhiaye...Nilham maanake nikotopata unaye mridhia au nimekujibu tofauti na swali lako?
Nimechoka ukapela!Wakati umefika sasa,walengwa jf members only!
kakakiiza na wewe unatafuta mupenzi au?
humjui Nilham wewe? Ila ana upinzani mkali ktk kuwania nambaHusninyo wewe ulishapata chotara?
humjui Nilham wewe? Ila ana upinzani mkali ktk kuwania namba
Labda ubadili avatar yako kinadada humu wanakuogopa tukisema ukweli, mwanangu akikataa kulala tunamwonyesha picha yako analala mara moja.Nimechoka ukapela!Wakati umefika sasa,walengwa jf members only!
vip my dear how areyou????? marry xmass.....Kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa:whoo::whoo:
humjui Nilham wewe? Ila ana upinzani mkali ktk kuwania namba
vipi tena hapa!
Same here nadhani muda umefika lakini hii issue taishughulikia 2011/2012
Hata mimi nipo kwenye mchakato kaka ila sijui ......