Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilikuwa na sumbuliwa na kuchezacheza kwa ngozi ya juu inayofunika jich lakini kuanzia juzi imeacha, lakini tena kuna mtu ambae anaishi jirani kaniambia ana zaidi ya wiki mbili jicho la kushoto linadalili hizo
je hii husababishwa na nini?
chonde msaada jamani!
je hii husababishwa na nini?
chonde msaada jamani!