Naomba kuuliza, chama Cha walimu Tanzania ni kwa ajiri ya walimu?

The next JPM

Member
Feb 22, 2023
22
44
Samahani wakuu,
Naomba kuuliza Iv chama Cha walimu Tanzania ni kwa ajiri ya walimu waliopo kwenye mfumo wa ajira au ni kwa hata kwa wale ambao hawajapata ajira....

Napenda kujua, mm ni mwanafunz wa ualimu mwaka wa pili CHUO kimoja apa Tanzania
 
Walio kwenye ajira
 
Apa tanzania. Ninyi ndio walimu mtakao potosha wanafunzi hapo baadae. Hujui tofauti ya Apa na Hapa?
 
"Ndio"ni nini mkuu? kwanini usiandike "ndiyo".

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mwalimu mafunzoni unajaribu kuleta challenge 😁😁😁😁

Karibu jamiiforums.
Neno NDIO hapo limetumika kwa usahihi kabisa wakati wewe unataka kulazimisha nitumie neno NDIYO. (Utachekwa na walio wengi kwa kutumia neno lako hilo)

Pitia uzi huu upate kujifunza
 
Mwalimu mafunzoni unajaribu kuleta challenge

Karibu jamiiforums.
Neno NDIO hapo limetumika kwa usahihi kabisa wakati wewe unataka kulazimisha nitumie neno NDIYO. (Utachekwa na walio wengi kwa kutumia neno lako hilo)

Pitia uzi huu upate kujifunza
Hahaha umemtwanga
 
Back
Top Bottom