Naomba kuuliza ajira kwa walimu waliomaliza mwaka 2015 kutangazwa lin?

Hahahaaa umekaa wiki moja mtaani unaulizia ajira? Sa hivi serikali iko busy na uchaguzi.... vumilia hadi 2016 wakijisikia watatangaza.
 
fikiria tu wliohitimu mwezi wa sita 2014 majina ymetoka mwezi wa nne 2015. sasa apo tegemea mwakani labda miezi ya nne hadi tano
 
Hahahaaa umekaa wiki moja mtaani unaulizia ajira? Sa hivi serikali iko busy na uchaguzi.... vumilia hadi 2016 wakijisikia watatangaza.

Wakuu wengi wa shule wanasema wanao waalim wa kutosha, hata kama kunahitajika waalimu 5, 6, ... Wanataka mteremko ktk kuongoza. Vijana wengi wanahoji juu ya ufujaji wa fedha unaofanywa na wakuu wa shule.
 
Back
Top Bottom